Aisee kwa boli lile mutafika mbali sana msimu huu wa mashindano ya CAF. Lakini na nyinyi lambalamba mnazingua bhana munafungwaje migoli ya kidwanzi Kama ile.
Azizi Ki umekuwa kocha mchezaji aisee, Mobeto bado hajakubemenda tu! Anyway napata shida maana nilikuwa natamani utopolo wapigike ili mji utulie lakini wapi.
Hata mim nimekubali,liyanga ni jitu moja kubwa sana hapa tz,tutateseka sana
Kama sio maelekezo kutoka kwa wenye biashara ya mpira leo hii yanga angekuwa ameipiga simba magoli kama aliyopgwa azam leo na yanga wangetusumbua sana huku mtaan