Mechi ijayo yanga vs kmcSasa ni wakati wa timu ya Yanga kujifunza kuhusu mechi za nyumbani,hii spirit ya Simba ya "Hatoki mtu kwa Mkapa" imefanikiwa kwa asilimia 100
Simba wamejenga imani mechi za nje wanaweza kupoteza au kudroo lakini kwa mkapa hatoki mtu
Sasa ni wakati mwafaka timu ya Yanga na zingine ambazo zitakuwa niwakilisha Tanzania kimataifa kuwa na moto huu wa simba
Yanga, Azam,Namungo jifunzeni kutoka kwa Simba
Mechi za nyumbani iwe mvua,liwe jua,uwe upepo ,afe mtu,"Hatoki mtu kwa Mkapa"
Hongereni sana Simba
Mkuu naongelea mechi za kimataifaMechi ijayo yanga vs kmc
Hatoki mtu kwa mkapa, kmc hatoki
Sasa unazungumzia mechi gani za nyumbani za Yanga wakati haishiriki michuano yoyote ya kimataifa?Sasa ni wakati wa timu ya Yanga kujifunza kuhusu mechi za nyumbani,hii spirit ya Simba ya "Hatoki mtu kwa Mkapa" imefanikiwa kwa asilimia 100
Nitumie iyo miguu pmKweli kabisaa!!!
Utaifanyia nini na tumbo lote hilo ?Nitumie iyo miguu pm
Duh mbona tunaaminishwa kuwa hawa jamaa pamoja na ndugu zao Tp_Mazembe wanampunga wakutosha iweje leo wanalia kinyonge ivoView attachment 1743057
Acha kufikiri ujinga wa maneno matupu