M mbingunikwetu JF-Expert Member Joined Feb 17, 2015 Posts 13,897 Reaction score 18,477 Apr 4, 2021 #21 Majan said: Duh mbona tunaaminishwa kuwa hawa jamaa pamoja na ndugu zao Tp_Mazembe wanampunga wakutosha iweje leo wanalia kinyonge ivo Click to expand... Timu za DRC Ni tajiri Sana! Analazimisha kudai hawana fedha ili kuhalalisha kipigo!! TO Mazembe ins mpaka ndege binafsi!!
Majan said: Duh mbona tunaaminishwa kuwa hawa jamaa pamoja na ndugu zao Tp_Mazembe wanampunga wakutosha iweje leo wanalia kinyonge ivo Click to expand... Timu za DRC Ni tajiri Sana! Analazimisha kudai hawana fedha ili kuhalalisha kipigo!! TO Mazembe ins mpaka ndege binafsi!!
Saguda47 JF-Expert Member Joined May 1, 2016 Posts 11,258 Reaction score 20,386 Apr 5, 2021 #22 mbingunikwetu said: Timu za DRC Ni tajiri Sana! Analazimisha kudai hawana fedha ili kuhalalisha kipigo!! TO Mazembe ins mpaka ndege binafsi!! Click to expand... Ndege siyo tatizo ila pesa huwa zinaisha pia, Unaweza ukawa na jumba zuri na mpaka gari ila mipango ikienda hovyo utapaki gari lako halina mafuta na hata ya kula nyumbani inaweza kuchenga. Hata hivyo kwa Sasa As Vita hawaifikii Simba kwenye ulipaji mishahara na ubora. My take: kumiliki asset hakukufanyi muda wote uwe vizuri kifedha. Labda uanze kuuza asset. Pia ndege inakodiwa tu kwa mkataba wa miaka kadhaa na kuandikwa jina la club. Sent using Jamii Forums mobile app
mbingunikwetu said: Timu za DRC Ni tajiri Sana! Analazimisha kudai hawana fedha ili kuhalalisha kipigo!! TO Mazembe ins mpaka ndege binafsi!! Click to expand... Ndege siyo tatizo ila pesa huwa zinaisha pia, Unaweza ukawa na jumba zuri na mpaka gari ila mipango ikienda hovyo utapaki gari lako halina mafuta na hata ya kula nyumbani inaweza kuchenga. Hata hivyo kwa Sasa As Vita hawaifikii Simba kwenye ulipaji mishahara na ubora. My take: kumiliki asset hakukufanyi muda wote uwe vizuri kifedha. Labda uanze kuuza asset. Pia ndege inakodiwa tu kwa mkataba wa miaka kadhaa na kuandikwa jina la club. Sent using Jamii Forums mobile app
C Cosovo JF-Expert Member Joined Jul 8, 2018 Posts 667 Reaction score 1,810 Sep 12, 2021 Thread starter #23 Bado sana