Yanga mnakubaliana na hili kweli?

Yanga mnakubaliana na hili kweli?

Job Richard

JF-Expert Member
Joined
Feb 8, 2013
Posts
3,876
Reaction score
2,190
Yanga mmeapa kumuenzi Hayati lazima mchukue kombe ligi kuu sasa mbona hii kauli imekuwaje tena? Clouds Tv hapa.

Wanena NDOTO ZA UBINGWA ZAYEYUKA YANGA.

20210412_163407.jpg
 
Huamini kuwa Simba anaweza kutoa sare mechi mbili?
Hata akitoa kuna kauli ya kujimwambafy imetolewa na simba kama nyinyi mechi ya juzi mkasema tumerudi kwa kasi mpya yakawatokea
Leo mnatoa kauli za kukata tamaa tena
 
Nakukubali wewe kweli ni mchambuzi na sio kama hawa mashabiki maandazi
Wanaendeshwa na maneno ya viongozi wale kusifia lengo lao waendelee kukalia kiti
Acha unafki wa mikia kujifanya
wanapenda Yanga iimarike
 
Tatizo la Yanga ni kuingozwa na walevi mbwa hawana maono wala mikakati ya kuiboresha timu wao wanachojua ni kuwajaza upepo washabiki wao na kulalamika kuonewa.
IMG-20210312-WA0007.jpg
 
Bado tunahitaji kujenga team imara inayoeleweka na sio kuota ndoto za alinacha.
Sasa muwe mnaongea lugha kama hizi tangu mwanzo wa msimu, msisubiri katikati au mwisho wa msimu. Mwanzoni mlipiga sana makelele, utadhani mnalingana na Simba!
 
Back
Top Bottom