Job Richard
JF-Expert Member
- Feb 8, 2013
- 3,876
- 2,190
Ina maana kauli yenu ya kumuenzi Jpm imeyeyuka? Huko juu kileleni mnasikia baridi au jotoNdiyo tunakubali.
Swali lingine?
Bado tunahitaji kujenga team imara inayoeleweka na sio kuota ndoto za alinacha.Ina maana kauli yenu ya kumuenzi Jpm imeyeyuka? Huko juu kileleni mnasikia baridi au joto
Nakukubali wewe kweli ni mchambuzi na sio kama hawa mashabiki maandaziBado tunahitaji kujenga team imara inayoeleweka na sio kuota ndoto za alinacha.
Huamini kuwa Simba anaweza kutoa sare mechi mbili?Ina maana kauli yenu ya kumuenzi Jpm imeyeyuka? Huko juu kileleni mnasikia baridi au joto
Nawe unaamini kwamba Yanga hatopeteza point yeyote mechi zilizobaki?Huamini kuwa Simba anaweza kutoa sare mechi mbili?
Hata akitoa kuna kauli ya kujimwambafy imetolewa na simba kama nyinyi mechi ya juzi mkasema tumerudi kwa kasi mpya yakawatokeaHuamini kuwa Simba anaweza kutoa sare mechi mbili?
Wana kocha mzalendo watashinda zoteNawe unaamini kwamba Yanga hatopeteza point yeyote mechi zilizobaki?
Hata simba akitoa sare mechi mbili bado atabaki na mechi mbili mkononiHuamini kuwa Simba anaweza kutoa sare mechi mbili?
Kwahiyo injinia hersi tumfanyeje Sisi Utopolo maana alisema tukikosa ubingwa tumuulize???Bado tunahitaji kujenga team imara inayoeleweka na sio kuota ndoto za alinacha.
Nendeni mkalime.Kwahiyo injinia hersi tumfanyeje Sisi Utopolo maana alisema tukikosa ubingwa tumuulize???
Mimi naamini simba anaweza kufungwa hata mechi mbili lakini wewe ukadroo 5Huamini kuwa Simba anaweza kutoa sare mechi mbili?
Hahah kikao kesho hujasikiaKwahiyo injinia hersi tumfanyeje Sisi Utopolo maana alisema tukikosa ubingwa tumuulize???
Acha unafki wa mikia kujifanyaNakukubali wewe kweli ni mchambuzi na sio kama hawa mashabiki maandazi
Wanaendeshwa na maneno ya viongozi wale kusifia lengo lao waendelee kukalia kiti
Na Yanga nao wanaweza kuendelea kudondosha pointHuamini kuwa Simba anaweza kutoa sare mechi mbili?
Sawa lakini usiseme game over ... This is football.Na Yanga nao wanaweza kuendelea kudondosha point
Sasa muwe mnaongea lugha kama hizi tangu mwanzo wa msimu, msisubiri katikati au mwisho wa msimu. Mwanzoni mlipiga sana makelele, utadhani mnalingana na Simba!Bado tunahitaji kujenga team imara inayoeleweka na sio kuota ndoto za alinacha.