Sasa muwe mnaongea lugha kama hizi tangu mwanzo wa msimu, msisubiri katikati au mwisho wa msimu. Mwanzoni mlipiga sana makelele, utadhani mnalingana na Simba!
Tatizo la Yanga ni kuingozwa na walevi mbwa hawana maono wala mikakati ya kuiboresha timu wao wanachojua ni kuwajaza upepo washabiki wao na kulalamika kuonewa.View attachment 1750580