kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Nashangaa sana kusikia viongozi eti wakilalamikia mchezaji wa mbeya city aliyepewa kadi nyekundu kaingia kuja kushangilia goli la kusawazisha.Hivyo mnahitaji point za mezani!Mnasikitisha!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cc:Ududu
HahahaaaNashangaa sana kusikia viongozi eti wakilalamikia mchezaji wa mbeya city aliyepewa kadi nyekundu kaingia kuja kushangilia goli la kusawazisha.Hivyo mnahitaji point za mezani!Mnasikitisha!
Mambo ya ajabu sanaCc:Ududu
Unaona jinsi Yanga walipopewa Faulo ya wazi Kabisa jamaa kakosa balance kateleza Refa kawapa Penalty
Ona sasa!! Kwanini lakini?!!Cc:Ududu
Unaona jinsi Yanga walipopewa Faulo ya wazi Kabisa jamaa kakosa balance kateleza Refa kawapa Penalty