Yanga mnataka ushindi wa mezani Mbeya.

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Nashangaa sana kusikia viongozi eti wakilalamikia mchezaji wa mbeya city aliyepewa kadi nyekundu kaingia kuja kushangilia goli la kusawazisha.Hivyo mnahitaji point za mezani!Mnasikitisha!
 
Me mpira nimeangalia ila sijaelewa kilichotokea, maana ni vigumu kwa sisi tunaotizama kwenye luninga kuhesabu wachezaji wote uwanjani, sasa wengine wanasema aliepewa kadi nyekundu hakutoka na wengine wanadai kuna mchezaji aliumia na kutoka nje kwa ajili ya matibabu ila team yake ikamfanyia sub ila alipomaliza kutibiwa akarudi uwanjani
 
Izi points zikipatikana zitasaidia sana kwenye kundi michuano ya shirikisho 'Rayon sports lazima washushwe'
lakini VPL hii ...mtashudia vumbi vumbi vumbi...!
 
Hata kama ni kweli midaa hii ya lala salama hakuna kutoa point za mezani, labda benchi la ufundi liadhibiwe kwa makosa yaliyotokea na matokeo ya uwanjani yabaki kama yalivyo!
 
Ahsante Mkuu na Huu ndo Upendeleo waliopewa Yanga....kuoata Faulo kisha goli....jamaa Kateleza na Mvua wala hakuangusha eti kapewa Faulo....
 
Nashangaa sana kusikia viongozi eti wakilalamikia mchezaji wa mbeya city aliyepewa kadi nyekundu kaingia kuja kushangilia goli la kusawazisha.Hivyo mnahitaji point za mezani!Mnasikitisha!
Hahahaaa
 
Kuna watu wanajaribu kudandia tractor kwa mbele!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…