Uchumi mbovu mkuuila hata mimi inaniudhi sana hii................sijawahi kuelewa kwanini jezi hazina majina wallah
Mkuu naona jezi za yanga zinatumika kama za ndondo anapoingia mchezaji asubirie yule anayetoka ili avae jezi za mwenzakeWanaspoti.
Nimeamgalia mechi ya Yanga na Lipuli ya Iringa Leo, kweli Lipuli wameonyesha upinzani mzuri, lakini kitu kilichonikera na mara zote hii ni kawaida ya Yanga ni kwa jezi zao kutokuwa na majina ya wachezaji wao tofauti na Lipuli. Yanga ni timu kubwa kulinganisha na Lipuli, iweje wao Yanga washindwe kuandika majina ya wachezaji wao kwenye jezi zao? Dunia yote sasa hivi tunaona huu ndio utaratibu na ni mzuri, Kama ni huyo mganga wao basi anawapotosha, Yanga badilikeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Timu ya waswahili hiyo.Wanaspoti.