Yanga mnawatoa wapi hawa wasemaji utopolo

Yanga mnawatoa wapi hawa wasemaji utopolo

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

Msemaji wa timu kongwe kama Yanga hajui kanuni za mchezo ambao timu yake inashiriki.

Anasubiri Yanga ikutane na Simba ngao ya hisani eti Yanga ikiwa nafasi ya pili
109458350_2426393120989499_7668015758290035018_n.jpg

Kanuni

Akili hamna.

Inawaza kisasi,ikibase kwenye kanuni.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
View attachment 1509943

Msemaji wa timu kongwe kama Yanga hajui kanuni za mchezo ambao timu yake inashiriki.

Anasubiri Yanga ikutane na Simba ngao ya hisani eti Yanga ikiwa nafasi ya pili
nimeiona hiyo mkuu hadi nikashangaa, mshindi wa kwanza na wa pili eti wanakutana ngao ya hisani, hapo hapi anajua hawezi kuwakirisha nchi kwenye shirikisho, iweje ashiriki ngao ya hisani? anamanisha shirikisho apewe Namungi ngao ya hisani abebwe yeye, yatakuwa ni maajabu ya kanuni!
 
huwa namtazama hata Nugaz,ni kabisa hajui habari za soka.ni ujanja ujanja tu na kughani
 
Nadhani tatizo sio hao wasemaji wa Yanga Nugaz na Bumbuli bali uongozi uliowapa dhamana ya kuwa wasemaji wa mojawapo ya taasisi/brand kubwa sana nchini kuliko uwezo wao. Mpaka leo sifahamu ni kwanini taasisi moja inakuwa na wasemaji wawili ambao wanaishia tu kuleta migongano kwenye taarifa zao kwenye vyombo vya habari. Hivi hao viongozi wa Yanga wakipewa uongozi kwenye timu kubwa kama Mazembe, Al Haly, Orlando Pirates, n.k. si wataajiri wasemaji watano watano ikiwa hapo Yanga tu wameshajiri wasemaji wawili.
 
Back
Top Bottom