OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
nimeiona hiyo mkuu hadi nikashangaa, mshindi wa kwanza na wa pili eti wanakutana ngao ya hisani, hapo hapi anajua hawezi kuwakirisha nchi kwenye shirikisho, iweje ashiriki ngao ya hisani? anamanisha shirikisho apewe Namungi ngao ya hisani abebwe yeye, yatakuwa ni maajabu ya kanuni!View attachment 1509943
Msemaji wa timu kongwe kama Yanga hajui kanuni za mchezo ambao timu yake inashiriki.
Anasubiri Yanga ikutane na Simba ngao ya hisani eti Yanga ikiwa nafasi ya pili
huwa namtazama hata Nugaz,ni kabisa hajui habari za soka.ni ujanja ujanja tu na kughaninimeiona hiyo mkuu hadi nikashangaa, mshindi wa kwanza na wa pili eti wanakutana ngao ya hisani, hapo hapi anajua hawezi kuwakirisha nchi kwenye shirikisho, iweje ashiriki ngao ya hisani? anamanisha shirikisho apewe Namungi ngao ya hisani abebwe yeye, yatakuwa ni maajabu ya kanuni!
huwa namtazama hata Nugaz,ni kabisa hajui habari za soka.ni ujanja ujanja tu na kughani
Hahahhahaha!Nugaz anachojua ni kusema "wape salamu"