Yanga mnunueni Kahata, Kagere, Ame, Dube na Mkude

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Yanga kama wanataka kuongeza kikosi chao waongeze wachezaji wafuatao kutoka Simba.

Kahata ni bonge la mchezaji ila Simba hana namba, Kagere the same, ame bonge la beki tatizo namba ni issue, mkude kupata namba tangu aje lwanga imekuwa shida.

Striker mchukue Dube, kutoka Azam, mchukueni striker mmoja kutoka Uganda. Kahata atawasaidia kuchezesha team.
 
Nataka kusema Yanga hawajui wapi pa kupata wachezaji mpaka wachukue rejects!
 
Yanga ipi ? Wasipobadilisha input wasitegemee output tofauti. Mfumo wa GIGO una apply garbage in garbage out.
 
Yanga kama wanataka kuongeza kikosi chao waongeze wachezaji wafuatao kutoka Simba.

Kahata ni bonge la mchezaji ila Simba hana namba, Kagere the same, ame bonge la beki tatizo namba ni issue, mkude kupata namba tangu aje lwanga imekuwa shida.

Striker mchukue Dube, kutoka Azam, mchukueni striker mmoja kutoka Uganda. Kahata atawasaidia kuchezesha team.
Hapo mchezaji ni Dube, Yanga wakimpata watakuwa wametatua tatizo lao la striker.
 
Yanga kama wanataka kuongeza kikosi chao waongeze wachezaji wafuatao kutoka Simba.

Kahata ni bonge la mchezaji ila Simba hana namba, Kagere the same, ame bonge la beki tatizo namba ni issue, mkude kupata namba tangu aje lwanga imekuwa shida.

Striker mchukue Dube, kutoka Azam, mchukueni striker mmoja kutoka Uganda. Kahata atawasaidia kuchezesha team.
Timu wananchi wa JaNgWani,wamchukue Kagere na kahata watakuwa wamekula matapishi Yao, Kagere wanamuita "muhenga" MzEe vipi Tena wasajili wazeee,au ndiyo kelele za[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196].
 
Yanga wanaweza kuwasajili hao lakini je wana hela za kuwalipa mshahara kila mwezi ?
Yanga waacheni wasajili wachezaji wa mafungu waepukane gharama za maisha[emoji23]
 
Shabiki wa Mbumbumbu fc akiwa katika ubora wake.
 
Haya sasa Yanga Mungu awape nini tena,bebeni mashine hizo.
 
Msitumie jina yanga nashindwa kuwapata vizuri tumieni hili la 'utopolo' ndo naling'amua kwa haraka zaidi
 
Nadhan hukuwa na hadhi ya kuwepo kweny kikao hiki Cha wanaume subir kikao chenu maana umeandika upumbavu
 
Hiyo pesa wataitoa wapi? au unataka wauze kile kigorofa chao pale jangwani chenye rangi ya mboga mboga
 
Back
Top Bottom