Msimu ujao Yanga isichukue kombe .[emoji881][emoji881][emoji881]
Nalogoff
Kagere labda aje achukue nafasi ya Mwakalebela! Wa nini sasa huyu?Ame na Dube hawatawapata labda KAgere na Kahata
Avatar yako na ulichoandika hapa vinafafana kabisaMsimu ujao Yanga isichukue kombe .[emoji881][emoji881][emoji881]
Nalogoff
Hapo mchezaji ni Dube, Yanga wakimpata watakuwa wametatua tatizo lao la striker.Yanga kama wanataka kuongeza kikosi chao waongeze wachezaji wafuatao kutoka Simba.
Kahata ni bonge la mchezaji ila Simba hana namba, Kagere the same, ame bonge la beki tatizo namba ni issue, mkude kupata namba tangu aje lwanga imekuwa shida.
Striker mchukue Dube, kutoka Azam, mchukueni striker mmoja kutoka Uganda. Kahata atawasaidia kuchezesha team.
Timu wananchi wa JaNgWani,wamchukue Kagere na kahata watakuwa wamekula matapishi Yao, Kagere wanamuita "muhenga" MzEe vipi Tena wasajili wazeee,au ndiyo kelele za[emoji196][emoji196][emoji196][emoji196][emoji196].Yanga kama wanataka kuongeza kikosi chao waongeze wachezaji wafuatao kutoka Simba.
Kahata ni bonge la mchezaji ila Simba hana namba, Kagere the same, ame bonge la beki tatizo namba ni issue, mkude kupata namba tangu aje lwanga imekuwa shida.
Striker mchukue Dube, kutoka Azam, mchukueni striker mmoja kutoka Uganda. Kahata atawasaidia kuchezesha team.
Shabiki wa Mbumbumbu fc akiwa katika ubora wake.Yanga wanaweza kuwasajili hao lakini je wana hela za kuwalipa mshahara kila mwezi ?
Yanga waacheni wasajili wachezaji wa mafungu waepukane gharama za maisha[emoji23]
Simba hoyeeeeeAvatar yako na ulichoandika hapa vinafafana kabisa
Nadhan hukuwa na hadhi ya kuwepo kweny kikao hiki Cha wanaume subir kikao chenu maana umeandika upumbavuMsitumie jina yanga nashindwa kuwapata vizuri tumieni hili la 'utopolo' ndo naling'amua kwa haraka zaidi
Tulia utopolo wewNadhan hukuwa na hadhi ya kuwepo kweny kikao hiki Cha wanaume subir kikao chenu maana umeandika upumbavu