Yanga msipobadili rangi ya jezi yenu mtaendelea kukinywea kikombe

BabaTina

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2008
Posts
429
Reaction score
581
Mimi kama shabiki wa yanga nimeumia sana timu hii kila mara kuchapwa chapwa na simba.
Lakini pia mwisho wa siku nikatafakari juu ya rangi ya jezi ya yanga nikaifananisha na rangi flani hivi amazing ya chama kile vs nuksi zinazoikumba nchi yetu!

Hitimisho nililofikia baada ya kufikiri sana nakagundua kubwa kuna uhusiano Mkubwa wa nuksi hizi na rangi husika zinazotumika!

Kijani na Njano = Nuksi
 
Kwakweli hizi rangi ni nuksi. Napendekeza nyeupe ichanganywe na blue kwa mbali.

Mtu unaweza kuwa unaishangilia yanga ukikumbuka zile rangi tu mood yote kwisha.
 
Hata akibadili rangi kama wakupigwa ni wakupigwa tu
 
Mwaka jana mlipochezea kichapo cha 2 ndani nje rangi ya Yanga ilikuwaje?
 
Mkuu kama hilo linakuchoma hamia kwenye rangi nyekundu. muda wa mabaliko ndiyo huu. Maana Yanga ndiyo waliorithisha rangi zao chama kileeee
 
Mwaka jana mlipochezea kichapo cha 2 ndani nje rangi ya Yanga ilikuwaje?
Mkuu lakini usisahau kwenye historia vichapo vya magoli mengi mengi huwa vinapokelewa na kijani toka kwa wekundu
 
Kwahiyo na Simba naye asipo badiri jesi zile zinazofanana na chama flani cha wale jamaa hawatachukua ubingwa mfululizo kama yanga?
 
Unaweza kuonekana umeandika masihara , lakini nakuhakikishia huu ulioandika hapa ni ukweli sana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…