Yanga na Azam,Simba na Kagera matokeo vipi?

Yanga na Azam,Simba na Kagera matokeo vipi?

Mlalahoi

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2006
Posts
2,182
Reaction score
885
Hivi mechi hizo ni leo jumanne au kesho maana ratiba yenyewe ya ligi hata haieleweki.Kama zimepigwa leo tunaomba matokeo.
 
Hivi mechi hizo ni leo jumanne au kesho maana ratiba yenyewe ya ligi hata haieleweki.Kama zimepigwa leo tunaomba matokeo.
..Simba Vs Kagera Sugara (was played on 14.10.08) Matokeo Simba 1 - Kagera 0.

Yanga Vs Azam Fc inapigwa leo 15.10.08 ( Utabiri wangu Yanga 1 - Azam 2)
 
Yanga Vs Azam Fc inapigwa leo 15.10.08 ( Utabiri wangu Yanga 1 - Azam 2)[/QUOTE said:
kama itakuwa hivyo Azam watakuwa wametusaidia sana sisi SSC maana atakuwa amepoteza mechi tatu na yeye usiniulize ya tatu ni ipi wakati unajua trh 26 oct 08 yebo yebo tutamtwanga tena tuna hasira..........
 
Vipi utabiri wa Yanga 1 Azam 2 umetimia?
 
Mmesikia yaliyomkuta Mnyama CCM Kirumba? PM upo? kala mishale 4 kwa 1. Wasiwasi timu hairudi Dar kupambana na Yanga.
 
Back
Top Bottom