Yanga na Azam walivyorejea Kishua na Kisela

Azam wangeenda kwa Tailor washonewe hizo suti maana wengine suti ni kubwa kuliko miili yao
 
Afu ndo kujiita wa kimataifa hahahah hawana tofauti na wale wa matopeni
 
Matokeo ya Azam yalikwaje?
 
Dah kweli yanga ni "Vyura Fc" wanawaza wataishi vipi kwenye bonde la jangwani au tuwapelekee kivuko?
 
Dah nimewapenda bure Azam , Yanga kwa uchafu hawajambo !
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…