Yanga na Azam walivyorejea Kishua na Kisela


Majira ya saa 5 asubuhi ndipo wachezaji wa SIMBA na viongozi wao pamoja na jopo la waandishi wa habari waliongozana katika msafara huo,simba imeenda Misri kujichua kwa ajiri ya mchezo wa jumamosi dhidi ya Es setif ya Algeria,Simba ilishinda 2-0 katika mchezo wa kwanza ulochezwa nyumbani Tanzania.
 
Reactions: PNC
tulianza sie wa Kimataifa halisi
 
Lazima watu wote uwanja wa ndege Oliver Tambo Johannesburg, South Africa walijiuliza ni timu gani hii (Azam FC) kubwa ya kimataifa iliyotembelea South Africa !
 
mwaka gani vile??
 

Usafi unaanzia nje..kuna watu ukiwaangalia tu unajua hata MAVUZI
hawajanyoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…