Yanga na Gor Mahia zapangwa kundi moja kombe la shirikisho

Yanga na Gor Mahia zapangwa kundi moja kombe la shirikisho

kilam

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2011
Posts
2,092
Reaction score
2,128
Angalau timu moja ya Afrika Mashariki itaingia robo fainali.

DbTpbW2W0AAT6Q6.jpg
 
Hapa nimechanganyikiwa kabisa...Kuishabikia team yangu Yanga ama Gor Mahia kwa uzalendo?
 
Hapa nimechanganyikiwa kabisa...Kuishabikia team yangu Yanga ama Gor Mahia kwa uzalendo?

Mimi sitaishangilia Yanga. [HASHTAG]#SimbaDamu[/HASHTAG]
 
Hapa nimechanganyikiwa kabisa...Kuishabikia team yangu Yanga ama Gor Mahia kwa uzalendo?

Aisei tumeshikwa pabaya, pia mimi hapa shabiki wa watoto Jangwani Yanga FC, lakini uzalendo jameni Gor Mahia.
Duh..
Bora kupiga kimya atakayeibuka mshindi hoyeeee.
 
Hapa nina uhakika wa timu zangu mbili yanga au gor mahia. Moja lazima ipite
 
Team za kijani Yanga na Gor hatar xana [HASHTAG]#Daimambelenyumamwiko[/HASHTAG]
 
Mimi niko Ryon sports kwenye hii michuano,

Simba chama, AFC leopard
 
Back
Top Bottom