Hapa nimechanganyikiwa kabisa...Kuishabikia team yangu Yanga ama Gor Mahia kwa uzalendo?
Vile vile zinaweza toka zoteAngalau timu moja ya Afrika Mashariki itaingia robo fainali.
Yap,nilikuwa sijaiona RwandaKwani timu ngapi kwa kundi zinasonga mbele? Sio mbili?
Hamshikiki! Mko kileleni kwa sasa.Mimi sitaishangilia Yanga. [HASHTAG]#SimbaDamu[/HASHTAG]
Hapa nimechanganyikiwa kabisa...Kuishabikia team yangu Yanga ama Gor Mahia kwa uzalendo?