Yanga na kapu la kubebea magoli

Watapigwa Watachakaa
Kipigo Chake Ni Cha Mbwa Ko Ko
 
Hivi simba naye kapigwa na mtibwa?
 
Yanga tukikaa vizuri na wachezaji walewale tunaweza kuwafunga Pyramids. Ni kucheza kwa kujiamini Na kuwashambulia tu. Wachezaji Wa kufanya hivyo tunao ila hawajatumika vema tu.
 
Mimi nawatakia kila la heri ingawa sina matumaini kabisa ya wao kuwafunga hao Waarabu nyumbani. Anyway, mpira ni dakika 90. Lakini ukweli mchungu. Huenda safari yao ikaishia hiyo kesho.
 
Yanga tukikaa vizuri na wachezaji walewale tunaweza kuwafunga Pyramids. Ni kucheza kwa kujiamini Na kuwashambulia tu. Wachezaji Wa kufanya hivyo tunao ila hawajatumika vema tu.
Uko sahihi ila si kwa kocha huyu yeye kuzuia tu muda wote mtu ushapigwa game ya kwanza una nini cha kupoteza sasa? Cheza mpira funguka sana tu potelea mbali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…