Yanga na man city ndo timu pekee duniani zenye uhakika wa kubeba treble msimu huu

Yanga na man city ndo timu pekee duniani zenye uhakika wa kubeba treble msimu huu

Mr. Sound

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
2,227
Reaction score
4,773
Yanga na man city, ndo timu pekee zenye vikosi vipana zaidi kwa sasa duniani.

timu hizi zenye makocha bora zaidi duniani, zina nafasi kubwa sana ya kubeba treble msimu huu, kutokana na parfomance bora wanazoonesha.

kama mpenda soka nazitakia kila la kheri timu hizi bora zaidi kwa sasa duniani.
 
Liverpool walikuwa na uhakika wa kubeba makombe Manne msimu uliopita lkn wakaishi mawili tu. Nachota kusema ni kuwa mpira wa Ulaya ni mpaka filimbi ya mwisho.
 
Back
Top Bottom