Yanga na mazembe

Yanga na mazembe

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Yanga na wapa taarifa hakikisheni mumejipanga vizuri mazembe wako serious saana msimu huu kwa hiyo msiende kucheza nao uku akili zikiwa mfukoni
 
1676793507289.jpg
 
Yanga na wapa taarifa hakikisheni mumejipanga vizuri mazembe wako serious saana msimu huu kwa hiyo msiende kucheza nao uku akili zikiwa mfukoni
Kwani nyie Simba, wale RAJA hamkujipanga zaidi ya kuendesha basi kinyumenyume?
 
Akili kuwa mfukoni ndio inakuaje apo kitaalam
 
Back
Top Bottom