G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,369
- 5,248
Ranking ni kitu seasonal. Usisahau hilo. Wakati Yanga ikishiriki mashindano ya CAF na Simba ikiwa matopeni, ranking ya Yanga ilikuwa juu. Mwaka Jana ya Simba ilikuwa juu kwa kufika robo fainali.
Ranking ni msimu kwa msimu.
Umeandika kwa kujitetea Sana ...Sina hakika hayo uliyosema ni kiongozi gani wa yanga alisema hivyo...ila ukweli bado unabaki kuwa Simba huhonga wachezaji wa timu pinzani pamoja na marefa...Hilo la kupuliza dawa vyumba Sina hakika nalo ila la kuhonga wachezaji wa timu pinzani na marefa Nina uhakika nalo kwa zaidi ya ailimia Mia moja...Yanga wanajua pasi na shaka kwamba hawana tena uwezo wa kupambana na Simba uwanjani kutokana na ubora wa vikosi na wanajua kikosi na cha Simba ni mbingu na Ardhi.
Ndipo wanapoamua kuja na hoja za kinafiki ili kutaka kuichafua Simba ionekane inapata ushindi wenye mashaka na sio kwa uwezo wa timu. Na sasa Mungu anawaumbua.
Walianza na kulaumu marefa. Kabla halijathibitishwa wakaja na hadithi ya kutunga kwamba Kidawa alitaka kuhongwa Ist ili apate kadi asipangwe kabla halijathibitishwa wakaja na kituko cha mwaka kwamba Simba inapuliza dawa vyumbani. Kabla halijathibitishwa wakaleta mpya eti Simba inanunua wapinzani wake.
Haya yote sasa yanathibitika kumbe ndiyo michezo yao na wakishafanya wanakimbilia kwenye vyombo vya habari kinafiki na kuwazushia Simba hawataki tena kuzungumzia takwimu na ubora wa timu bali unafiki na uzushi.
Huwezi kuwa na Tshishimbi, Mapinduzi, Niyonzima, Japhari, Juma Abdul, Molinga na Yikpe. Ukataka upambane na timu yenye watu wa kati kama Kapombe, Shabalala, Mkude, Chama, Kahata, Boko, Dilunga na Kagere, lazima utafeli tu.
Simba inafanya vizuri kwa kuwa ina kikosi bora kama timu na mchezaji mmoja mmoja. Simba kadri siku zinavyokwenda inazidi kuwa bora zaidi na siku si nyingi mtakubali tu Simba hii imeboreshwa zaidi na ni bora kuliko ya msimu uliopita.
Yanga haina kikosi bora na inakosa wachezaji wa kuhimili mechi zenye presha ya kuekekea mwishoni mwa ligi.
Haya mechi yenu na Polisi mligoma kuingia vyumbani mbona hamkushinda? Au mnataka kutuaminisha Polisi nao huwa wanafanya kama nyie mnavyofanya vyumbani? Mbona sasa marefa wamekuwa wakikataa magoli mnayofungwa? Rejea mechi za Ruvu, Mbeya City na Polisi zote zimekataliwa magoli yao halali. Huwa mnawapa nini marefa na hawaoni hayo magoli? Mkishatuharibia marefa wetu mnawahi kuwatuhumu Simba.
ULE MUDA WA BINGWA KUPANGWA MEZANI AU KUSHINDA KWA PROPOGANDA HAUPO TENA. SIKU HIZI UTANDAWAZI UMETANDAWAA MECHI ZINAONYESHWA NA KILA MTU ANAONA. TUNAJUA HUKO NYUMA ILIWEZEKANA FIGISU ZENU MPAKA MNAITWA MABINGWA WA KIHISTORIA KWA VIKIMBE MLIVYOKUWA MKIBEBA KWA KUBEBWA NA MAGUMASHI. BADILIKENI TENGENEZENI TIMU BORA YA KUSHINDA UWANJA
Sent using Jamii Forums mobile app
What an intelligent question!kwa hiyo msimu huu Yanga itapanda ranking mkuu kuliko Simba, si ilifika hatua moja zaidi ya simba, au?
Sent using Jamii Forums mobile app
ili la simba kuhonga baadhi ya wachezaji tishio wa timu pinzani ili either wacheze chini ya viwango ama wasionekane kabisa kwenye mechi lina make sense....mfano kagera na simba kuna wachezaji wa kagera sikuwaelewa kabisa, lipuli vs simba ...mchezaji wa lipuli wa kutegemewa Paul Nongwa na ni captain hakuonekana kwenye ile mechi! ikumbukwe Ance Pop ni miongon mwa wafadhili wa Lipuli...Umeandika kwa kujitetea Sana ...Sina hakika hayo uliyosema ni kiongozi gani wa yanga alisema hivyo...ila ukweli bado unabaki kuwa Simba huhonga wachezaji wa timu pinzani pamoja na marefa...Hilo la kupuliza dawa vyumba Sina hakika nalo ila la kuhonga wachezaji wa timu pinzani na marefa Nina uhakika nalo kwa zaidi ya ailimia Mia moja...
Sawa kabisa....mashabiki oyaoya wa Simba wanaaminishwa kuwa timu yao ni nzuri wakati siyo kweli...kwamba Simba inahonga wachezaji wa timu pinzani na marsfa hilo halina ubishi kabisa...baadhi yetu tunafahamu hivyo na ushahidi tunao ...hata wachezaji kadhaa wa yanga wamewahi kuhongwa na Simba na ushahidi upo..kwangu Mimi Sina shaka nalo kabisa...ila hilo la kunyunyiza vyumba madawa kwa hakika Sina ushahidi...katika mechi za hivi karibuni Simba vs mtibwa wachezaji wanna wa mtibwa walihongwa...ile ya Simba na lipuli wachezaji wawili wa lipuli walihongwa...ile game ya kagera na Simba hapo Sina ushahidi...game ya kesho Katie ya Simba na biashara mikakati ya Simba inaendelea ifikapo kesho yaa sita nitaweza kujua ni Nani ndani ya Biashara amechukua mzigo...ili la simba kuhonga baadhi ya wachezaji tishio wa timu pinzani ili either wacheze chini ya viwango ama wasionekane kabisa kwenye mechi lina make sense....mfano kagera na simba kuna wachezaji wa kagera sikuwaelewa kabisa, lipuli vs simba ...mchezaji wa lipuli wa kutegemewa Paul Nongwa na ni captain hakuonekana kwenye ile mechi! ikumbukwe Ance Pop ni miongon mwa wafadhili wa Lipuli...
Sent using Jamii Forums mobile app
Siku libumbumbuluke live mtu ashuke daraja.Sawa kabisa....mashabiki oyaoya wa Simba wanaaminishwa kuwa timu yao ni nzuri wakati siyo kweli...kwamba Simba inahonga wachezaji wa timu pinzani na marsfa hilo halina ubishi kabisa...baadhi yetu tunafahamu hivyo na ushahidi tunao ...hata wachezaji kadhaa wa yanga wamewahi kuhongwa na Simba na ushahidi upo..kwangu Mimi Sina shaka nalo kabisa...ila hilo la kunyunyiza vyumba madawa kwa hakika Sina ushahidi...katika mechi za hivi karibuni Simba vs mtibwa wachezaji wanna wa mtibwa walihongwa...ile ya Simba na lipuli wachezaji wawili wa lipuli walihongwa...ile game ya kagera na Simba hapo Sina ushahidi...game ya kesho Katie ya Simba na biashara mikakati ya Simba inaendelea ifikapo kesho yaa sita nitaweza kujua ni Nani ndani ya Biashara amechukua mzigo...
Ni kweli kabisa...ipo siku itashuka daraja...ingawa najua serikali itaingilia Kati kwa kisingizio Cha umoja wa kitaifa...upo wakati Simba ilikuwa ishuke daraja mbinu zikafanyika na Simba ikabaki...upo wakati wachezaji wawili wa yanga waliahidiwa mamilioni ili wapoteze mchezo kumbe ulikuwa ni mtego..wale wa Simba wakaitwa na wenzao wa yanga wakawaonesha ushahidi..wa Simba wakapiga magoti na mambo mengine mchezo ukaishia hapo..upo wakati mechi kumi za mwisho yanga haikumpanga mchezaji wake muhimu baada ya kutonywa...yanga ikachukua ubingwa...Yale aliyoyasema kabwili ni ya kweli kabisa.,.tatizo lao ni kuwa wao wenyewe upo wakati huvujisha Siri...Siku libumbumbuluke live mtu ashuke daraja.
Kwanini usiende kutoa ushahidi mahakamani?Umeandika kwa kujitetea Sana ...Sina hakika hayo uliyosema ni kiongozi gani wa yanga alisema hivyo...ila ukweli bado unabaki kuwa Simba huhonga wachezaji wa timu pinzani pamoja na marefa...Hilo la kupuliza dawa vyumba Sina hakika nalo ila la kuhonga wachezaji wa timu pinzani na marefa Nina uhakika nalo kwa zaidi ya ailimia Mia moja...
Sawa kabisa....mashabiki oyaoya wa Simba wanaaminishwa kuwa timu yao ni nzuri wakati siyo kweli...kwamba Simba inahonga wachezaji wa timu pinzani na marsfa hilo halina ubishi kabisa...baadhi yetu tunafahamu hivyo na ushahidi tunao ...hata wachezaji kadhaa wa yanga wamewahi kuhongwa na Simba na ushahidi upo..kwangu Mimi Sina shaka nalo kabisa...ila hilo la kunyunyiza vyumba madawa kwa hakika Sina ushahidi...katika mechi za hivi karibuni Simba vs mtibwa wachezaji wanna wa mtibwa walihongwa...ile ya Simba na lipuli wachezaji wawili wa lipuli walihongwa...ile game ya kagera na Simba hapo Sina ushahidi...game ya kesho Katie ya Simba na biashara mikakati ya Simba inaendelea ifikapo kesho yaa sita nitaweza kujua ni Nani ndani ya Biashara amechukua mzigo...
Ni kweli kabisa...ipo siku itashuka daraja...ingawa najua serikali itaingilia Kati kwa kisingizio Cha umoja wa kitaifa...upo wakati Simba ilikuwa ishuke daraja mbinu zikafanyika na Simba ikabaki...upo wakati wachezaji wawili wa yanga waliahidiwa mamilioni ili wapoteze mchezo kumbe ulikuwa ni mtego..wale wa Simba wakaitwa na wenzao wa yanga wakawaonesha ushahidi..wa Simba wakapiga magoti na mambo mengine mchezo ukaishia hapo..upo wakati mechi kumi za mwisho yanga haikumpanga mchezaji wake muhimu baada ya kutonywa...yanga ikachukua ubingwa...Yale aliyoyasema kabwili ni ya kweli kabisa.,.tatizo lao ni kuwa wao wenyewe upo wakati huvujisha Siri...
Maneno ya kwenye khanga....hiyo kwa lugha ya kigeni ni arrogance...unadhani wale walio karibu na timu wataomba ushahidi??!! Wanajua kilichoko nyuma ya pazia...mashabiki oyaoya ndio wanaoomba ushahidi....wenyewe hawawezi kutaka ushahidi...takukuru??!! Tangu lini takukuru ikajihusisha na Mambo ya soka??!!Porojo bila ushahidi ni sawa kutupigia kelele tu, toa ushahidi ili tuupeleke TAKUKURU , acha maneno mkuu!! Humu kila mtu ana akili timamu , sasa unapoleta porojo na maneno ya kwene khanga utachekwa ase
Sent using Jamii Forums mobile app