samakinchanga
JF-Expert Member
- Aug 24, 2014
- 2,024
- 1,233
Mpira umepigwa Chelsea anapelekeshwa Mwanzo mwisho .hiyo ndio spirit ya ushindi .mpelempele hakuna kusimama
Naamini watashinda
Naamini watashinda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chelsea mechi iliyopita walitumia nguvu kubwa sana kushinda dhidi ya Brighton wakiwa pungufu, walistahili kabisa kufungwa na Manchester United SC.Mimi kama shabiki wa united naomba kupinga kauli yako
Napendekeza wacheze kama aston villa[emoji736][emoji736]
yaani Yanga yangu icheze km man u!!!wacha kutudharau daima mbeleMpira umepigwa Chelsea anapelekeshwa Mwanzo mwisho .hiyo ndio spirit ya ushindi .mpelempele hakuna kusimama
Naamini watashinda