Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Juzi Yanga walikuwa wanacheza mpira kama wapo ugenini wakati Rollers walikuwa kama wapo nyumbani, sasa huko ugenini kwenyewe sijui itakuwaje kwa Yanga.Bora Yanga wanaweza kushinda ugenini kama watacheza kwa bidii kwani wanafanana viwango na wapinzani wao.
Al- Masri ni wazuri kupita Simba.
Jinsi nilivyo waangalia.
Pia Al-Masri ni wajuzi wa fitina za ushindi wakiwa kwao.
Simba inahitaji kucheza kwa kujituma sana ili kuweza kushinda ugenini
Tukiacha kuroga kwenye mpira, LABDA tutafika hukoZote safari imeiva..hamna mpira bongo hapa