Megalodon
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,534
- 7,866
Kwanza nasikitika kuona hata wachambuzi wakubwa kabisa wana mislead watu kuwa eti lile la Aziz K ni goli, tatizo kubwa wa TZ ni kwamba tunaangalia vitu out of professional na mahaba na kubahatisha bahatisha tu; Lile sio goli ukienda kokote, na hata Penalty waliyonyimwa Mamelody angenyimwa Yanga pia tungesema tumeonewa, mpira ni mchezo wa kanuni na wazi.
Refa alikuwa very fair kwa pande zote mbili. Kama mnafuatilia EPL, mipira kama ile huwa inakataliwa sana, tukubali kuwa hata wachambuzi wetu hawajui namna ya kutafsiri kanuni.
Nadhan ndio maana walishauriwa bungeni waende kusomea hiyo kazi
Kama sikosei mwaka Jana, SSC alifika alipfika Yanga, akatolewa kwa Penalty, ni matukio ambayo yanajirudia. TATIZO KUBWA HAPA NI INVESTMENT.
sisi huwa tunaonesha upinzani tu, mwisho wa siku tunarudi kwenye eneo letu
Yanga aliamua kushika Bomba ugenini na nyumbani kote amecheza kwa 28% tu, mpira wa kushika bomba ni bahati nasibu tu na kushika pumbu. Sioni kama Yanga inahitaji pongezi zozote, mambo ya kufa kiume ni useless. Huwezi kupata ushindi kwa kushika bomba tu na kutegemea bahati, style mbaya kabisa inatokana na poor investment. Tunabaki kulaumu kuwa tumeonewa, kwa mpira gani na goli gani ndani ya dakika 90?
Yanga na SSC mnahitaji kufanya investment, achaneni na inshallah inshallah hazisaidii kitu, fanyeni investment, acheni utapeli wa social media na kupoteza muda kwenye branding
mtashangazwa sana mwakani SSC na Yanga zote zikashindwa kufika hata makundi: Yanga na SSC bado sio zile timu kuwa lazima zicheze makundi, hawajafika hizo level . Ili kufika huko , fanyeni investment.
Yanga imetoka kihali japo imeonesha ushindani ; kama Yanga akiongeza investment kidogo tu , naamini mwakani pia atacheza robo Fainal , sisemi kuwa lazima acheze kwa sababu bado sio timu kuwa lazima ivuke makundi kama ilivyo kwa mamelody au ahlyl.
SSC ni timu ambayo imeshakufa na haina dira na wanaamini sna kwenye ushirikina,
Inacheza robo fainal ya 5 bila ya impact yoyote, ni aibu lakini pia nashauri waendelee tu ku invest kwenye social media na UCHAWI, that is what they know best.
Naambiwa kocha wa SSC ameamua kuondoka na sababu kuu ni hapewi nafasi ya kusajili watu anawaamini