VAR za Epl huwa zinagandisha yukio lakini hawa hakuna kitu kama hicho! Mkuu wewe huwezi kuona kama ni goli kwa sababu macho yalikuwa yamezingwa na zivuma ya nkeo![emoji16][emoji16][emoji1][emoji1][emoji1]
Sasa mnalalamika Nini milifikiri CAF ni wajinga wakubali Yanga muende Nusu Fainali kimazabe Kwa kushika Bomba ,yaani Mechi mbili Dar na Pretoria mmeshindwa kufika hata ball possession ya Jumla ya 50%Lile ni goli safi kabisa na uhitaji VAR ku ng'amua kama nigoli, ila kwakua limekataliwa hakuna namna.
Mpira wa ki Afrika hasa katika ngazi ya vilabu Kuna upuuzi mwingi.
Frenk Lampard aliwatungua Germany bao kamailo likasababisha ije VAR, Leo Aziz K anafunga kwa stil ileile ya Lampard VAR Ina kataa.
Bora tuludi kulekule kwakina tatu Malogo tujue ni makosa ya kibinadamu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa mnalalamika Nini milifikiri CAF ni wajinga wakubali Yanga muende Nusu Fainali kimazabe Kwa kushika Bomba ,yaani Mechi mbili Dar na Pretoria mmeshindwa kufika hata ball possession ya Jumla ya 50%
Ni hatua kubwa pamoja na hiyo kupigwa nje ndani, Ni kubwa mno ambayo nchi nyingi Africa hazijaipata.Endelea kubisha na mtaendelea kuloga na mtaendelea kupigwa Ndani na nje
Sasa mnalalamika Nini milifikiri CAF ni wajinga wakubali Yanga muende Nusu Fainali kimazabe Kwa kushika Bomba ,yaani Mechi mbili Dar na Pretoria mmeshindwa kufika hata ball possession ya Jumla ya 50%
Hiyo investment ndo imezifikisha hizo timu hapo zilipo.Investment maana yake investment! Go and search to know investment ya wapi
Sasa wewe umeshika bomba home na aware , what did you get ?
Sina muda wa kubishana na wewe
Imani yako itakuponya
Acha uzwazwa wewe... unaonyesha matukio ambayo VAR imeonyesha na kurudia vizuri ili kuridhisha kila mtu aliyeko uwanjani na asiyekuwepo uwanjani. Mbona VAR mechi ya yanga hawakufanya hivyo
Weka picha za goli la Yanga kama ambavyo umeweka hayo ya Ulaya, kama huna picha bc uzi huu ni taka.Kwanza nasikitika kuona hata wachambuzi wakubwa kabisa wana mislead watu kuwa eti lile la Aziz K ni goli, tatizo kubwa wa TZ ni kwamba tunaangalia vitu out of professional na mahaba na kubahatisha bahatisha tu; Lile sio goli ukienda kokote, na hata Penalty waliyonyimwa Mamelody angenyimwa Yanga pia tungesema tumeonewa, mpira ni mchezo wa kanuni na wazi.
Refa alikuwa very fair kwa pande zote mbili. Kama mnafuatilia EPL, mipira kama ile huwa inakataliwa sana, tukubali kuwa hata wachambuzi wetu hawajui namna ya kutafsiri kanuni.
Nadhan ndio maana walishauriwa bungeni waende kusomea hiyo kazi
View attachment 2955044
View attachment 2955045
Kama sikosei mwaka Jana, SSC alifika alipfika Yanga, akatolewa kwa Penalty, ni matukio ambayo yanajirudia. TATIZO KUBWA HAPA NI INVESTMENT.
sisi huwa tunaonesha upinzani tu, mwisho wa siku tunarudi kwenye eneo letu
Yanga aliamua kushika Bomba ugenini na nyumbani kote amecheza kwa 28% tu, mpira wa kushika bomba ni bahati nasibu tu na kushika pumbu. Sioni kama Yanga inahitaji pongezi zozote, mambo ya kufa kiume ni useless. Huwezi kupata ushindi kwa kushika bomba tu na kutegemea bahati, style mbaya kabisa inatokana na poor investment. Tunabaki kulaumu kuwa tumeonewa, kwa mpira gani na goli gani ndani ya dakika 90?
Yanga na SSC mnahitaji kufanya investment, achaneni na inshallah inshallah hazisaidii kitu, fanyeni investment, acheni utapeli wa social media na kupoteza muda kwenye branding
mtashangazwa sana mwakani SSC na Yanga zote zikashindwa kufika hata makundi: Yanga na SSC bado sio zile timu kuwa lazima zicheze makundi, hawajafika hizo level . Ili kufika huko , fanyeni investment.
Yanga imetoka kihali japo imeonesha ushindani ; kama Yanga akiongeza investment kidogo tu , naamini mwakani pia atacheza robo Fainal , sisemi kuwa lazima acheze kwa sababu bado sio timu kuwa lazima ivuke makundi kama ilivyo kwa mamelody au ahlyl.
SSC ni timu ambayo imeshakufa na haina dira na wanaamini sna kwenye ushirikina,
Inacheza robo fainal ya 5 bila ya impact yoyote, ni aibu lakini pia nashauri waendelee tu ku invest kwenye social media na UCHAWI, that is what they know best.
Naambiwa kocha wa SSC ameamua kuondoka na sababu kuu ni hapewi nafasi ya kusajili watu anawaamini
Hiyo investment ndo imezifikisha hizo timu hapo zilipo.
Kushika bomba sio shida, we kijana mpira umeanza kuangalia lini wewe??
Hizo ni mbinu, Simba hajashika bomba yuko wapi??
Yaani wewe timu kukaa nyuma unahisi ni haina investment [emoji23][emoji23][emoji23].
Ahly mbona kashika bomba nje ndani, nae hana investment [emoji23][emoji23]View attachment 2955148
Tano chache sana hizo.Endelea ivo ivo
Imani yako itakuponya kama kutolewa robo fainal 5 times ni hatua kubwa then I am done [emoji2099]
Ushaanza ushabiki wa vijiwe vya gahawa.Kaka SSC sio timu
Ni genge la wahuni na matapeli
Wanasubir pesa za CAF wagawane
Kwa mpira huo ndo nimeelewa kwa nini mamelody misimu karibia nane sasa hajawahi kufika hata fainal cafNenda kapigane na jiwe;
23% unataka goli la nini, kama una investment ungefunguka tuone mpira sio kushika pumbu , crazy kabisa
Fanya investment