Tano chache sana hizo.
Arsenal hajalamba kombe Epl ila top 4 yupo mara kibao ila huoni akikata tamaa, kila msimu yumo akiamini one day Yes atanyanyua kwapa tu.
We endelea kuamini kua ukishindwa first time basi next time uwin.
Unaeeza kuanguka hata mara 10 lakin mwisho wa siku ukaibuka kidedea.
Kinachotakiwa ni maintain kile kidogo upatacho kisipotee.
Tatizo lako unatukia hisia kufirikiri.

Hongera Ubuntu Botho See You Next Time.Yanga Msijal asbuh mtaenda Nusu Fainal🐸🐸🐸🤣🤣
Ndio Mitazamo Yake Acha Tuheshimu.Mods futa uzi unajaza saver bure
Uzi mzima umenaa neno investment, kua specific investment kwenye nini hasa??
Unabeza Yanga na Simba kufika robo fainali kwa najeti hizi zetu??
Ahly kashika bomba kwa mkapa kampasua simba 1, hata huko Cairo wala hakua na mbwembwe na kucheza mpira bado kambonda Simba 1.
Belouizdad wala hakucheza pira biriani kwao akambinda Yanga 3 mtungi.
Au wewe kushika bomba huwa unaitafsiri vipi??
Kwa hizi mechi Investment imeamuaje mechi??
🖕Kapigane na jiwe
Fanya investment
Kuna camera nyuma ya lile goli pembeni kidogo...Kwanza nasikitika kuona hata wachambuzi wakubwa kabisa wana mislead watu kuwa eti lile la Aziz K ni goli, tatizo kubwa wa TZ ni kwamba tunaangalia vitu out of professional na mahaba na kubahatisha bahatisha tu; Lile sio goli ukienda kokote, na hata Penalty waliyonyimwa Mamelody angenyimwa Yanga pia tungesema tumeonewa, mpira ni mchezo wa kanuni na wazi.
Refa alikuwa very fair kwa pande zote mbili. Kama mnafuatilia EPL, mipira kama ile huwa inakataliwa sana, tukubali kuwa hata wachambuzi wetu hawajui namna ya kutafsiri kanuni.
Nadhan ndio maana walishauriwa bungeni waende kusomea hiyo kazi
View attachment 2955044
View attachment 2955045
Kama sikosei mwaka Jana, SSC alifika alipfika Yanga, akatolewa kwa Penalty, ni matukio ambayo yanajirudia. TATIZO KUBWA HAPA NI INVESTMENT.
sisi huwa tunaonesha upinzani tu, mwisho wa siku tunarudi kwenye eneo letu
Yanga aliamua kushika Bomba ugenini na nyumbani kote amecheza kwa 28% tu, mpira wa kushika bomba ni bahati nasibu tu na kushika pumbu. Sioni kama Yanga inahitaji pongezi zozote, mambo ya kufa kiume ni useless. Huwezi kupata ushindi kwa kushika bomba tu na kutegemea bahati, style mbaya kabisa inatokana na poor investment. Tunabaki kulaumu kuwa tumeonewa, kwa mpira gani na goli gani ndani ya dakika 90?
Yanga na SSC mnahitaji kufanya investment, achaneni na inshallah inshallah hazisaidii kitu, fanyeni investment, acheni utapeli wa social media na kupoteza muda kwenye branding
mtashangazwa sana mwakani SSC na Yanga zote zikashindwa kufika hata makundi: Yanga na SSC bado sio zile timu kuwa lazima zicheze makundi, hawajafika hizo level . Ili kufika huko , fanyeni investment.
Yanga imetoka kihali japo imeonesha ushindani ; kama Yanga akiongeza investment kidogo tu , naamini mwakani pia atacheza robo Fainal , sisemi kuwa lazima acheze kwa sababu bado sio timu kuwa lazima ivuke makundi kama ilivyo kwa mamelody au ahlyl.
SSC ni timu ambayo imeshakufa na haina dira na wanaamini sna kwenye ushirikina,
Inacheza robo fainal ya 5 bila ya impact yoyote, ni aibu lakini pia nashauri waendelee tu ku invest kwenye social media na UCHAWI, that is what they know best.
Naambiwa kocha wa SSC ameamua kuondoka na sababu kuu ni hapewi nafasi ya kusajili watu anawaamini
Kuna camera nyuma ya lile goli pembeni kidogo...
Unahisi angle ya hapo hawajaiona...??
Lile ni goli
Hapa umeandika utumbo....mchambuzi wa Michele wewe.SSC ni timu ambayo imeshakufa na haina dira na wanaamini sna kwenye ushirikina,
Inacheza robo fainal ya 5 bila ya impact yoyote, ni aibu lakini pia nashauri waendelee tu ku invest kwenye social media na UCHAWI, that is what they know best.
What a bitter [emoji381] to swallow.Kwanza nasikitika kuona hata wachambuzi wakubwa kabisa wana mislead watu kuwa eti lile la Aziz K ni goli, tatizo kubwa wa TZ ni kwamba tunaangalia vitu out of professional na mahaba na kubahatisha bahatisha tu; Lile sio goli ukienda kokote, na hata Penalty waliyonyimwa Mamelody angenyimwa Yanga pia tungesema tumeonewa, mpira ni mchezo wa kanuni na wazi.
Refa alikuwa very fair kwa pande zote mbili. Kama mnafuatilia EPL, mipira kama ile huwa inakataliwa sana, tukubali kuwa hata wachambuzi wetu hawajui namna ya kutafsiri kanuni.
Nadhan ndio maana walishauriwa bungeni waende kusomea hiyo kazi
View attachment 2955044
View attachment 2955045
Kama sikosei mwaka Jana, SSC alifika alipfika Yanga, akatolewa kwa Penalty, ni matukio ambayo yanajirudia. TATIZO KUBWA HAPA NI INVESTMENT.
sisi huwa tunaonesha upinzani tu, mwisho wa siku tunarudi kwenye eneo letu
Yanga aliamua kushika Bomba ugenini na nyumbani kote amecheza kwa 28% tu, mpira wa kushika bomba ni bahati nasibu tu na kushika pumbu. Sioni kama Yanga inahitaji pongezi zozote, mambo ya kufa kiume ni useless. Huwezi kupata ushindi kwa kushika bomba tu na kutegemea bahati, style mbaya kabisa inatokana na poor investment. Tunabaki kulaumu kuwa tumeonewa, kwa mpira gani na goli gani ndani ya dakika 90?
Yanga na SSC mnahitaji kufanya investment, achaneni na inshallah inshallah hazisaidii kitu, fanyeni investment, acheni utapeli wa social media na kupoteza muda kwenye branding
mtashangazwa sana mwakani SSC na Yanga zote zikashindwa kufika hata makundi: Yanga na SSC bado sio zile timu kuwa lazima zicheze makundi, hawajafika hizo level . Ili kufika huko , fanyeni investment.
Yanga imetoka kihali japo imeonesha ushindani ; kama Yanga akiongeza investment kidogo tu , naamini mwakani pia atacheza robo Fainal , sisemi kuwa lazima acheze kwa sababu bado sio timu kuwa lazima ivuke makundi kama ilivyo kwa mamelody au ahlyl.
SSC ni timu ambayo imeshakufa na haina dira na wanaamini sna kwenye ushirikina,
Inacheza robo fainal ya 5 bila ya impact yoyote, ni aibu lakini pia nashauri waendelee tu ku invest kwenye social media na UCHAWI, that is what they know best.
Naambiwa kocha wa SSC ameamua kuondoka na sababu kuu ni hapewi nafasi ya kusajili watu anawaamini
Timu ya tano kwa ubora,imeongia tobo faonali mara 5 useme imekufaKwanza nasikitika kuona hata wachambuzi wakubwa kabisa wana mislead watu kuwa eti lile la Aziz K ni goli, tatizo kubwa wa TZ ni kwamba tunaangalia vitu out of professional na mahaba na kubahatisha bahatisha tu; Lile sio goli ukienda kokote, na hata Penalty waliyonyimwa Mamelody angenyimwa Yanga pia tungesema tumeonewa, mpira ni mchezo wa kanuni na wazi.
Refa alikuwa very fair kwa pande zote mbili. Kama mnafuatilia EPL, mipira kama ile huwa inakataliwa sana, tukubali kuwa hata wachambuzi wetu hawajui namna ya kutafsiri kanuni.
Nadhan ndio maana walishauriwa bungeni waende kusomea hiyo kazi
View attachment 2955044
View attachment 2955045
Kama sikosei mwaka Jana, SSC alifika alipfika Yanga, akatolewa kwa Penalty, ni matukio ambayo yanajirudia. TATIZO KUBWA HAPA NI INVESTMENT.
sisi huwa tunaonesha upinzani tu, mwisho wa siku tunarudi kwenye eneo letu
Yanga aliamua kushika Bomba ugenini na nyumbani kote amecheza kwa 28% tu, mpira wa kushika bomba ni bahati nasibu tu na kushika pumbu. Sioni kama Yanga inahitaji pongezi zozote, mambo ya kufa kiume ni useless. Huwezi kupata ushindi kwa kushika bomba tu na kutegemea bahati, style mbaya kabisa inatokana na poor investment. Tunabaki kulaumu kuwa tumeonewa, kwa mpira gani na goli gani ndani ya dakika 90?
Yanga na SSC mnahitaji kufanya investment, achaneni na inshallah inshallah hazisaidii kitu, fanyeni investment, acheni utapeli wa social media na kupoteza muda kwenye branding
mtashangazwa sana mwakani SSC na Yanga zote zikashindwa kufika hata makundi: Yanga na SSC bado sio zile timu kuwa lazima zicheze makundi, hawajafika hizo level . Ili kufika huko , fanyeni investment.
Yanga imetoka kihali japo imeonesha ushindani ; kama Yanga akiongeza investment kidogo tu , naamini mwakani pia atacheza robo Fainal , sisemi kuwa lazima acheze kwa sababu bado sio timu kuwa lazima ivuke makundi kama ilivyo kwa mamelody au ahlyl.
SSC ni timu ambayo imeshakufa na haina dira na wanaamini sna kwenye ushirikina,
Inacheza robo fainal ya 5 bila ya impact yoyote, ni aibu lakini pia nashauri waendelee tu ku invest kwenye social media na UCHAWI, that is what they know best.
Naambiwa kocha wa SSC ameamua kuondoka na sababu kuu ni hapewi nafasi ya kusajili watu anawaamini
Uko Kijiji gani mkuu..au unatumiwa kifaa gani Cha mawasiliano hata hizi video usione...Nimebishana na watu hadi basi mpira haujavuka hiyo line umedundia kwenye touch line
JF waweke kitufe cha kutukana wapumbavu kama hawa tena ikibidi tupeane appointment chemba ili tumalizane kwa mkono kabisa.Uko Kijiji gani mkuu..au unatumiwa kifaa gani Cha mawasiliano hata hizi video usione...
View attachment 2955193
Kulikuwa na penalty gani? Au mpira ulitizama kwenye kiswaswadu. Sasa wakusikilize ww kama nani?Kwanza nasikitika kuona hata wachambuzi wakubwa kabisa wana mislead watu kuwa eti lile la Aziz K ni goli, tatizo kubwa wa TZ ni kwamba tunaangalia vitu out of professional na mahaba na kubahatisha bahatisha tu; Lile sio goli ukienda kokote, na hata Penalty waliyonyimwa Mamelody angenyimwa Yanga pia tungesema tumeonewa, mpira ni mchezo wa kanuni na wazi.
Refa alikuwa very fair kwa pande zote mbili. Kama mnafuatilia EPL, mipira kama ile huwa inakataliwa sana, tukubali kuwa hata wachambuzi wetu hawajui namna ya kutafsiri kanuni.
Nadhan ndio maana walishauriwa bungeni waende kusomea hiyo kazi
View attachment 2955044
View attachment 2955045
Kama sikosei mwaka Jana, SSC alifika alipfika Yanga, akatolewa kwa Penalty, ni matukio ambayo yanajirudia. TATIZO KUBWA HAPA NI INVESTMENT.
sisi huwa tunaonesha upinzani tu, mwisho wa siku tunarudi kwenye eneo letu
Yanga aliamua kushika Bomba ugenini na nyumbani kote amecheza kwa 28% tu, mpira wa kushika bomba ni bahati nasibu tu na kushika pumbu. Sioni kama Yanga inahitaji pongezi zozote, mambo ya kufa kiume ni useless. Huwezi kupata ushindi kwa kushika bomba tu na kutegemea bahati, style mbaya kabisa inatokana na poor investment. Tunabaki kulaumu kuwa tumeonewa, kwa mpira gani na goli gani ndani ya dakika 90?
Yanga na SSC mnahitaji kufanya investment, achaneni na inshallah inshallah hazisaidii kitu, fanyeni investment, acheni utapeli wa social media na kupoteza muda kwenye branding
mtashangazwa sana mwakani SSC na Yanga zote zikashindwa kufika hata makundi: Yanga na SSC bado sio zile timu kuwa lazima zicheze makundi, hawajafika hizo level . Ili kufika huko , fanyeni investment.
Yanga imetoka kihali japo imeonesha ushindani ; kama Yanga akiongeza investment kidogo tu , naamini mwakani pia atacheza robo Fainal , sisemi kuwa lazima acheze kwa sababu bado sio timu kuwa lazima ivuke makundi kama ilivyo kwa mamelody au ahlyl.
SSC ni timu ambayo imeshakufa na haina dira na wanaamini sna kwenye ushirikina,
Inacheza robo fainal ya 5 bila ya impact yoyote, ni aibu lakini pia nashauri waendelee tu ku invest kwenye social media na UCHAWI, that is what they know best.
Naambiwa kocha wa SSC ameamua kuondoka na sababu kuu ni hapewi nafasi ya kusajili watu anawaamini
Umekua mpoleee jamanii, mbona ghaflaa sana?Ndio Mitazamo Yake Acha Tuheshimu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sajili za kijanja janja mtu kama gift fred,guede,musonda,makudubela hawa hawawezi kukuvusha kwenye hatua kama hii
Kwahiyo we unatakaje,Ndani ya dakika 90 mnasubiri goli la kushika pumbu, acheni uzwazwa, kama mnajua kanuni kachezesheni nyie
Mpira wenyewe mnacheza kwa asilimia 23, mngefunguka tuone pasi za mamelody
Yaani ni worst type of playing
Makolo nayo yameshapasuka na kama kawaida yao yamekufa kiume