Yanga na Simba SC hamtoboi hadi mnisikilize, full stop

Umejikanyaga kanyaga mengi. Lakini bado unarudi kule kule kwenye ushabiki. Lile ni goal la wazi lisilohitaji hata VAR. Hakuna fair kwenye goal kucompere na matukio mengine kama ya kunyimwa penat sijui. Goal linajitenga na kulinganishwa na madhambi mengine uwanjani.
Unaruka ruka kama maharage yanaiva ksbb furaha yako imetimia.
 
View attachment 2955167
Angle ya hii camera, refa alipaswa kwenda kuangalia

Halikuwa goli Kama wewe ni mfuatiliaji mzuri mpira na kanuni. Endeleza mahaba yako uzuri mifano ya mipira kama hiyo ipo mingi.

Andikeni barua CAF kukata rufaa ; huenda next week tukaingia nusu fainal
 
Mama na yule boss mkuu waliwadekeza

Shida kubwa wana ruka ruka badala ya kucheza mpira. Dakika zote wewe ni ku défend tu ;
Asilimia kubwa wanaosema lile ni goli ni mashabiki sio wanasoka
 
Una ugonjwa wa kutojiamini kijana, waTz wengi wapo kama wewe.

Walisema Mamelod atamkanda uto za kutosha hapa kwa mkapa ila game ikaisha suluhu, wakasema uto kwa madiba hatoboi akiendelea kulinda hivi atakula nyingi ila pia hola wote wamepelekeana pumzi ya moto.

Mkasema tena Uto hawezi mfunga mwarabu goli 3+ ili afuzu, mwarabu akala 4g++ mkaufyata kwa visingizio kua wale ni waarabu koko.

Acha kujibeza kijana.
 
Mbona wengine wanafika kila siku ?

Bado hujapata majibu tu ?
Hawawezi kufika wote kila siku, kuna wanaoshindwa kufika.
Nusu ni timu 4 tu na sio 54 sawa kijana, kwahiyo mamelod na Ahly kila msimu wanafika nusu fainali?

Mamelodi kaishia mara ngapi robo??
Fatilia leta jibu hapa ndo ujue ni hakuna kukata tamaa.
 
Uko Kijiji gani mkuu..au unatumiwa kifaa gani Cha mawasiliano hata hizi video usione...
View attachment 2955193

Tatizo lenu mpo kimahaba na kubahatisha bahatisha

Mlikuwa na dakika 90 ; hazikutosha

Mkaja kupewa penalty also was another chance to make difference, what happened kwenye penalty,? Nako mmeonewq ?

Yaani mmepata sehemu ya kufichia udhaifu wenu badala ya kuona area of improvement na uwekezaji

Pamoja na kelele zetu, unakuta mwakani hata makundi hatutoboi, tuache ujinga tufanye investment
Lile sio goli, kateni rufaa hata FIFA MTAONA majibu

Mwamuzi anaenda VAR endapo tu anawasiwasi na majibu yake.
 
Hawawezi kufika wote kila siku, kuna wanaoshindwa kufika.
Nusu ni timu 4 tu na sio 54 sawa kijana, kwahiyo mamelod na Ahly kila msimu wanafika nusu fainali?

Mamelodi kaishia mara ngapi robo??
Fatilia leta jibu hapa ndo ujue ni hakuna kukata tamaa.

N’a wewe umeishia mara ngapi ?
 
Blahblah tu hakuna la maana umeandika. Tuonyeshe footage ya lile goli, otherwise utakuwa unapiga soga. Hawakuonyesha close range ya ule mpira, huwezi kuja na hitimisho la namna hii.

Hata hivyo, Yanga walikuwa more professional kwenye both legs, knowing your opponent, knowing what you need to do to contain, close him down and not allowing a goal was a masterclass technic.
 

Mimi sio mshabiki kama wewe

Mm ni mwanasoka. Na mpira wetu ni kubahatisha na mwakani hata makundi tunaweza tusitoboe
Fanyeni investment
Maisha ya mpira sio rahisi hivo
 

Katafute footage
 
Kuhakiki faul ya Lomalisa VAR ilitumika ila kuhakiki goli ikakataliwa.
 

Sawa ni goli, haya nendeni nusu fainali basi

Hata penalty mmeonewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…