Katika hali ya kusikitisha na kuhuzunisha imegundulika kuwa Simba na Yanga walipanga matokeo ya game lao la Jumapili....Na hii iliwekwa ili kuweza kuwasaidia viongozi wa Yanga ambao walikalia kuti kavu iwapo Yanga ingefungwa...katika kikao kilichofanyika kabla ya game hiyo viongozi wa Simba na Yanga walipanga kusaidiana ili kulinda maslahi yao kwenye vilabu hivyo vikongwe kwenye soka la Bongo..............kama hii ni kweli je TUTAFIKA?

yanga afrika!yanga afrika!mabingwa tanzania na afrika mashariki na kati!
aisee hebu mwenye huu wimbo wa kabasele au-upload tuburudike wakuu.
Kama kawaida yetu, vilabu hivi havifungani ila kwa hujuma.
Tutafika?
nenda www.yangasc.com utaupata
Shabikieni Azam tulete mabadiliko ktk soka, siyo uchwi nw majungu tuuuuuuuuuu!
leo ni siku ya huzuni kwangu. Nalog off
hujuma zp verify, how
mi nachojua mnyama katundikwa kamoja tu. Lakini hebu elezen kwan nyie mlitakaje maana iko wazi .... achezi imani za kishamba na uvivu ....
Kesho wasikilize viongozi wa Simba, wakikubali wamefungwa kihalali basi itakuwa mapinduzi makubwa sana, na hata kama Yanga wengefungwa washabiki au viongozi wangelia lia hujuma!
Afadhali Yondani hayupo, wangemtwisha yeye lawama za kichapo walichopata leo.