Yanga na Simba Waungane Kupeana Mbinu za Kimchezo Ili waweze Kuvuka Hatuna Hii Ya Awali.

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu nina Wazo Fulani la Kumfikishia Waziri wa Utamaduni na Michezo Mhe. Mchengerwa ingawa Sina access ya kumfikishia.

Wazo na ushauri wangu ni kwamba Mm nadhani ni wakati sasa Yanga na Simba kushirikiana Kwenye Hii Hatua ili Waweze Kuvukà kwa pamoja.

Simba wawape mbinu Yanga kwa Jinsi wao walivyofika Mpaka hatua ya Robo Kwa Wakati Ule.

Pia serikali ikae na Hivi vilabu vi2 ili wawape sapoti na Nguvu Pia na Kujua changamoto ya Hizi team Ili serikali iweze kutoa Msaada.

Shida sina access ya kufikisha hili wazo Langu Kwa Waziri Mchengerwa.

Hivi vilabu vinaliwakilisha Taifa La Tanzania Kwa Hyo Vikishirikiana Kwa Pamoja bila kujiona nani ni mkubwa kwa mwenzake na kila mtu apambane kivyake Team Hizi hazitafika hata group stage.

Angalia km Waarabu wana fitina sana kuhusu team zao

Ndio maana Hata Ratiba za Michuano ya Afrika huwa inazibeba sana Timu za Uarabuni kwa Kuzikutanisha na Timu za Dhaifu ktk hatua za Awali.

Viongozi wa vilabu, serikali na Tff Zao(waarabu) Huwa wanatengeneza mazingira ya timu za kaskazini (waarabu) kufika mbali.

Zinakwepana ili zisitoane mapema. Utakuta mafarao wamepewa "Wasotho" au Shelisheli na timu ni vigumu kupewa washekisheli au komoro.

Karibuni Kwa mawazo Yenu Ili kujaziajazia nyama Ili wazo Langu Wakuu [emoji120][emoji120]
 
Wakuu issue Sio Yanga Kuona Magumu.
.
Jambo la Msingi ni Waziri wa Michezo kukutana na Hivi vilabu
.
Kwa Màana Waziri anaweza kukaa na viongozi wa Simba na Yanga kujaribu kujenga tabia ya Tanzania kwanza
.
Wakicheza na wageni washirikiane vilivyo ili kuleta ushindi nyumbani ila tukirudi hapa nyumbani tuendelee na derby yetu.
.
Wakati Niko Tanga, Jambo hili lilitusaidia A.Sports ya Tanga kupanda daraja baada ya miaka mingi sana nje ya Primier Ligue.
.
Tulikuja na slogan ya Tanga Kwanza
.
Tulivuna uzoefu mkubwa kutoka Coastal Union Lakini mpaka kesho tunabaki kuwa Derby kubwa baada ya Simba na Yanga
 
Hili jambo Kwa Sasa haliwezekani, watu kama Manara wamefanikiwa kupandikiza chuki kwenye Mpira isiyo na kifani.

Washabiki wa Simba chuki yao iko waziwazi Kwa Yanga, Yanga itaingia makundi bila kupeana mbinu na mtu, GSM wamewekeza sana kupata kikosi bora.

Unapocheza na Yanga Leo indirect unacheza na ile AS Vita iliyokuwa inaipa Simba dozi ya bao 5.

Wana Yanga watembee kifua mbele timu ya ushindani tunayo na hatuna kisingizio chochote tayari timu INA muunganiko wa kutosha.
 
Makolo watatoa mbinu gani zaidi ya ile ya kuwasha moto uwanjani peupe kabisa
 
Attachments

  • images.jpeg
    images.jpeg
    27.3 KB · Views: 2
Waarabu huwa wanaungana wanapata upendeleo kwenye ratiba,ndio maana huwa wanakwepana kwa kupangiwa timu dhaifu seriously!!!!! Hizi hatua za awali kigezo ni Vibonde na Miamba hakuna cha upendeleo
Wakuu nina Wazo Fulani la Kumfikishia Waziri wa Utamaduni na Michezo Mhe. Mchengerwa ingawa Sina access ya kumfikishia.

Wazo na ushauri wangu ni kwamba Mm nadhani ni wakati sasa Yanga na Simba kushirikiana Kwenye Hii Hatua ili Waweze Kuvukà kwa pamoja.

Simba wawape mbinu Yanga kwa Jinsi wao walivyofika Mpaka hatua ya Robo Kwa Wakati Ule.

Pia serikali ikae na Hivi vilabu vi2 ili wawape sapoti na Nguvu Pia na Kujua changamoto ya Hizi team Ili serikali iweze kutoa Msaada.

Shida sina access ya kufikisha hili wazo Langu Kwa Waziri Mchengerwa.

Hivi vilabu vinaliwakilisha Taifa La Tanzania Kwa Hyo Vikishirikiana Kwa Pamoja bila kujiona nani ni mkubwa kwa mwenzake na kila mtu apambane kivyake Team Hizi hazitafika hata group stage.

Angalia km Waarabu wana fitina sana kuhusu team zao

Ndio maana Hata Ratiba za Michuano ya Afrika huwa inazibeba sana Timu za Uarabuni kwa Kuzikutanisha na Timu za Dhaifu ktk hatua za Awali.

Viongozi wa vilabu, serikali na Tff Zao(waarabu) Huwa wanatengeneza mazingira ya timu za kaskazini (waarabu) kufika mbali.

Zinakwepana ili zisitoane mapema. Utakuta mafarao wamepewa "Wasotho" au Shelisheli na timu ni vigumu kupewa washekisheli au komoro.

Karibuni Kwa mawazo Yenu Ili kujaziajazia nyama Ili wazo Langu Wakuu [emoji120][emoji120]
 
Timu watakayocheza nayo yanga ni kama zalan tu kwa hiyo watatinga hatua ya makundi haina haja ya ushirikiano.
Teh teh teh.
 
Hili jambo Kwa Sasa haliwezekani, watu kama Manara wamefanikiwa kupandikiza chuki kwenye Mpira isiyo na kifani.

Washabiki wa Simba chuki yao iko waziwazi Kwa Yanga, Yanga itaingia makundi bila kupeana mbinu na mtu, GSM wamewekeza sana kupata kikosi bora.

Unapocheza na Yanga Leo indirect unacheza na ile AS Vita iliyokuwa inaipa Simba dozi ya bao 5.

Wana Yanga watembee kifua mbele timu ya ushindani tunayo na hatuna kisingizio chochote tayari timu INA muunganiko wa kutosha.
Ndiomaana nadhani ikitokea tumeshindwa kuingia makundi (mkashia hii hatua ya awali) hakuna sababu nyingine ya kuendelea kubaki na huyu kocha, sasa kama tunaamini kuwa GSM amalefanya uwezekezaji ambao kwanamna yoyote ile Yanga ni lazima iingie makundi, kutakuwa na sababu gani nyingine ya kujitetea?
 
Yanga mlitumia mbinu gani kupangiwa Zalan? Maana ndio mnachosema kuwa timu za waarabu wanapangiwa vibonde.
 
Ndiomaana nadhani ikitokea tumeshindwa kuingia makundi (mkashia hii hatua ya awali) hakuna sababu nyingine ya kuendelea kubaki na huyu kocha, sasa kama tunaamini kuwa GSM amalefanya uwezekezaji ambao kwanamna yoyote ile Yanga ni lazima iingie makundi, kutakuwa na sababu gani nyingine ya kujitetea?
Haitotokea hiyo, failure is not option.

Tunaingia hatua ya makundi kibabe, Nabi ameishi Sudan ni Mwarabu na anajuwa figisu zao.
 
Wakuu Ligi ni tofauti sana na Mashindano makubwa ya kimataifa.
.
Ndio maana mchezo wa kwanza walifungwa na St. George.
.
Hivyo wananchi wanapaswa kuwafunga nyingi tu nyumbani ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kusonga mbele.

Yanga inapita bila shida.
 
Ilipo toka fixture tu tayari nili iona Yanga group stage. Huitaji utabiri ni kufuatilia timu anazo kwenda kukutana nazo na ubora walionao Kwa Sasa.
 
Back
Top Bottom