Yanga Na Simba Zimebakia Ushabiki na Majina tu

Dr Guitar tz

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2018
Posts
312
Reaction score
247
Na huenda tatizo kubwa ni kundi kubwa linalowapa backing time hizi yaani hasa ushabiki
Leo hii tunashuhudia timu hizi zikiadhiriwa na vitimu vidogo hadi timu za vijijini...
Tukumbuke zamani za Akina Ramadhani Lenny, Mogella, Athumani China, Malota Soma, Iddi Pazi, Said Mwamba Kizota nk....aibu hizi hatukuziona!
Ushauri kwa serikali izifute timu mbili hizi hakika mpira utakuwa nchini .
 
Hakika maana wachezaji wa siku hizi ubishoo mwingi,uwanjani wanarukaruka tu.kumbuka enzi za akina salum kabunda,chumila,masatu nk kazi kaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…