Mmoja alienda na kombe mwingine kaenda mikono mitupu. Ndio tofauti ya sisi na wao
Simba walilipata wakiwa njiani, tofauti na wengine wanaolipigania hadi dakika ya mwisho!Simba wameenda bila kombe... Hahahaa
Hata ulaya wanavaa suti,acheni kuwa wachafu wachafuYanga haijawahi kuwa na kampeni ya KUJIREMBA sababu mara nyingi huwa tuko bize na KOMBE. Na hii ndio maana msimamo wa NDOO ni 27 vs 18. Nyie endeleeni kuwa warembo.
Kama una macho mazuri na akili 'angalau kidogo' utaona picha za Yanga wameambatana na KOMBE na Simba Koko wako mikono mitupu. Kombe wameliacha sehemu maana hawana mazoea nayo.
Huyu Tulia hakujua kama Mnyama anapita? Mbona kapiga yeboyebo?
Acha inferiority complex......kwahio kitu tunachofanya lazima ulaya wafanye??Kwanza hii tabia ya kwenda bungeni sijui nini ni hapa bongo sijui Manchester city kama watafanya hivo
Mungu akupi vyote,hatimaye baada ya aka 5 hongereniSimba wako smart bhana,kuanzia apperance mpaka kichwani.
Yanga hadi uvaaji wanakuwaga hovyo
πππ Ndio mkamvisha Manara hivyo vitambaa mkaita suti?Hata ulaya wanavaa suti,acheni kuwa wachafu wachafu
Eti wanadai kuwa msemaji wa Mbumbumbu FC kapiga suti kali πππSasa tofauti ya mbumbumbu na yanga hapo ni nini?
Yanga wameishazoea kwenda Bungeni. Hamna kitu kipya. Jamaa zetu baada ya miaka mitano, ndiyo wamepata nafasi. Ni sawa na mtoto anaevaa nguo mpya siku ya Eid au Christmas tu. Lazima awe mshamba na nguo hiyo.Yanga haijawahi kuwa na kampeni ya KUJIREMBA sababu mara nyingi huwa tuko bize na KOMBE. Na hii ndio maana msimamo wa NDOO ni 27 vs 18. Nyie endeleeni kuwa warembo.
Kama una macho mazuri na akili 'angalau kidogo' utaona picha za Yanga wameambatana na KOMBE na Simba Koko wako mikono mitupu. Kombe wameliacha sehemu maana hawana mazoea nayo.
Eti wanadai kuwa msemaji wa Mbumbumbu FC kapiga suti kali πππ
Mikia inabidi kwanza nyinyi wenyewe mjikubali kua ni MABINGWA wa VPL kwa msimu huu maana naona mmewehuka na hamuamini kama ni mabingwa hizi comparison ni mfano wa mengi yanayoendelea kwenye mitandao.
Nimeamini jamaa wali-miss haswaa kuwa mabingwa [emoji23][emoji23] maana wanatamani hata siku ya kupewa kombe iwe sikukuu ya kitaifa.
Simba huu ulimbukeni,ushamba na umbumbumbu mtaacha lini?. Kwanini msisubiri mkabidhiwe kombe mwende bungeni angalau mpige nalo picha kuliko kwenda mikono mitupu as if wajinga fulani hivi!.
Compare and Contrast