kwa ufatiliaji wako wa soka umewahi sikia timu ina viporo 12Mlikua wapi kipindi kile yanga ana beba kombe... [emoji23][emoji23][emoji23]die hard
Mkuuu wewe ungeshinda mechi zako zote hivyo viporo vya mnyamaa vingekuathili nini? .kwa ufatiliaji wako wa soka umewahi sikia timu ina viporo 12
ama timu kucheza kila baada ya siku 2
ama backpass kuwa offside
ama mpira kuendelea ikiwa golikipa kaumia
Akikujibu..nitag mkuuMkuuu wewe ungeshinda mechi zako zote hivyo viporo vya mnyamaa vingekuathili nini? .
Akikujibu..nitag mkuu
Miaka yote yanga wamebeba ndoo hakukua na ujinga huuMnachoteseka ni nini? Inamana Yanga ndy angetakiwa achukue? Shida mnataka bingwa awe wa upande mmoja tuu!! Kwa jins hiyo, ligi haiwezi kukua hata iweje!! Ni kama vile Yanga mnaumia sana
Hakika...yan figisu kila kona.....TFF watoleee kauli vitu kama hvMiaka yote yanga wamebeba ndoo hakukua na ujinga huu
Wamejidhalilisha tu
Tff wakae kimyaHakika...yan figisu kila kona.....TFF watoleee kauli vitu kama hv
Unazijua sheria za mpira vizuri? Fuatilia kuhusiana na kipa kuumia halafu yupo nje ya mstari nini kinatakiwa kufanyika?kwa ufatiliaji wako wa soka umewahi sikia timu ina viporo 12
ama timu kucheza kila baada ya siku 2
ama backpass kuwa offside
ama mpira kuendelea ikiwa golikipa kaumia
Ndugu leo hii ndio unajua kuwa tff ni wapiga dili, au kwakuwa zahera kakuaminisha hivo!? Moja ushaonekana upo upande gani! Malalamiko ya kocha wa yanga juu ya kupendelea timu fulani emu kaa chini na ujaribu kufikiria zile points zake utagundua kitu ndugu, !! FA kakosa , mapinduzi kakosa, sportpesa kakosa, kama kweli tuhuma zake ni kweli je kwanini hayo mengne hajachukua? Tatizo la waamuzi kwene ligi yetu lipo toka muda na bado TFF huwa kimya au sometime hufanya maamuzi kwa kukurupuka!! Kama umeanza fatilia ligi yetu toka muda ungeshagundua kitu na nahisi ungeeleweka zaidiUshabiki tuweke kando, ligi yetu ya Tanzania bara ipo corrupted, kuanzia daraja la kwanza ndiyo madudu kabisa, ligi kuu bingwa anaandaliwa kabla ligi kuchezwa
Tatizo lipo TFF, nachelea kusema bodi ya ligi au chama cha marefa....sababu TFF wanajua kabisa madudu ya hizi idara na wana mandate ya kuzivunja wapo kimya.
Ushauri wangu kama hakutatokea mabadiliko kwenye hizo sehemu hapo juu...tutegemee simba kuchukua ubingwa misimu yote mpaka mabadiliko ya uongozi wa TFF, chama cha waamuzi na bodi ya ligi vipo corrupted.
Hawajui ndugu yangu , hao wamerishwa matango pori na kocha wao anaejua kila kitu kumbe hamna kituUnazijua sheria za mpira vizuri? Fuatilia kuhusiana na kipa kuumia halafu yupo nje ya mstari nini kinatakiwa kufanyika?
Sioni akirudi [emoji16][emoji16]Mkuuu wewe ungeshinda mechi zako zote hivyo viporo vya mnyamaa vingekuathili nini? .
Sioni akirudi [emoji16][emoji16]
Mkuu, hebu kuwa fair kidogo basi. Kwa maandalizi yalivyokuwa (kuanzia usajili hadi kambi ya pre-season), hivi kweli Simba haikutarajiwa kubeba ubingwa? Ni timu gani unadhani ilitarajiwa ukiondoa Simba?Yanga hii ambayo kocha wake alikiri kabisa kwamba wakikutana na Simba, njia rahisi ya kuzuia magoli ni kupaki bus? Wakati mwingine muwe mnaangalia mizani basi, daah!Ushabiki tuweke kando, ligi yetu ya Tanzania bara ipo corrupted, kuanzia daraja la kwanza ndiyo madudu kabisa, ligi kuu bingwa anaandaliwa kabla ligi kuchezwa
Tatizo lipo TFF, nachelea kusema bodi ya ligi au chama cha marefa....sababu TFF wanajua kabisa madudu ya hizi idara na wana mandate ya kuzivunja wapo kimya.
Ushauri wangu kama hakutatokea mabadiliko kwenye hizo sehemu hapo juu...tutegemee simba kuchukua ubingwa misimu yote mpaka mabadiliko ya uongozi wa TFF, chama cha waamuzi na bodi ya ligi vipo corrupted.
sijaongelea yanga pekee...nmeongelea yanga na team zote za ligi kuu..soma ueleweNdugu leo hii ndio unajua kuwa tff ni wapiga dili, au kwakuwa zahera kakuaminisha hivo!? Moja ushaonekana upo upande gani! Malalamiko ya kocha wa yanga juu ya kupendelea timu fulani emu kaa chini na ujaribu kufikiria zile points zake utagundua kitu ndugu, !! FA kakosa , mapinduzi kakosa, sportpesa kakosa, kama kweli tuhuma zake ni kweli je kwanini hayo mengne hajachukua? Tatizo la waamuzi kwene ligi yetu lipo toka muda na bado TFF huwa kimya au sometime hufanya maamuzi kwa kukurupuka!! Kama umeanza fatilia ligi yetu toka muda ungeshagundua kitu na nahisi ungeeleweka zaidi
Hata ingetokea nyie mngeshiriki ligi ya mabingwa mpk hatua waliofika wenzenu basi nanyi pia mngekuwa na viporo hvyo. Kwahyo tulia dawa iingie vizurikwa ufatiliaji wako wa soka umewahi sikia timu ina viporo 12
ama timu kucheza kila baada ya siku 2
ama backpass kuwa offside
ama mpira kuendelea ikiwa golikipa kaumia
Miaka hii ndio mmejua kuchambua mpira vizuri? Bado endeleeni kuchambua mechi zote za SimbaHawajui ndugu yangu , hao wamerishwa matango pori na kocha wao anaejua kila kitu kumbe hamna kitu
Mbali na yote sisi Yanga tulichemsha tu kufungwa na kudraw hizi game za mwisho mwisho nje ya hapo pia uwezekano wa sisi kuwa mabingwa ulikuwepo mbona.
Maoni yangu kwa kuwa linajulikana hilo la TFF kwamba wengi ni Mikia hapo ni Yanga kujiimarisha kwenye mechi zake tu ligi ikianza kwani kama hao wanaobebwa mwisho wa siku ubingwa wataukosa.
Sio tufungwe halafu huku pembeni tunalalamika hatujatwaa ubingwa sababu kwa jinsi tulivyofungwa ndio tukawapa mwanya mikia kuhonga mpaka ubingwa wakauchukua.