Yaani mtu aliyefeli darasa la saba anamcheka yule aliyefaulu lakini akapata "F" kidato cha nne. Sijui ni yupi nafuu katika hao wawili.Yanga juzi wamekamilisha duru ya kwanza ya makundi akiwa wa mwisho kwa point 1 sawa na asilimia 11.11% katika point 9.
Kwa kutumia madaraja ya ufaulu mapya ya form six inamaanisha yanga ana grade F. Yaan failure.
Kwa mechi za ugenini yanga wameambulia point 0 sawa na asilimia 0.00% na kwa mech za nyumbani ameambulia point sawa na asilimia 16.67% na kuangukia kwenye grade F Kama kawaida.
Wataingia raund ya pili wakiwa na wastan wa grade F huku wakicheza mchezo mmoja taifa na miwili nje ya tanzania.
Tuendelee kuwaombea yale ya Portugal yanaweza kutokea tena.
We hata cheti cha darasa la saba huna, unamcheka mwenzio anayesoma bachelor. Nikifeli narudia, nasonga mbele, mzee wa ndondo wewe! Hivi mambo yanaendaje na wachezaji wako wapya wa kigeni? Nitakuona wa maana sana kama utahuzunikia kile kinachoendelea klabuni pako kuliko kutafuata umbea wa nyumba ya jiraniYanga juzi wamekamilisha duru ya kwanza ya makundi akiwa wa mwisho kwa point 1 sawa na asilimia 11.11% katika point 9.