Yanga nani anaibeba kutoka sare au mtembea na mpira?

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2018
Posts
4,445
Reaction score
4,707
Wadau kumetokea nini kwa Mabingwa wa Kihistoria YANGA? Inaonekana kuna mtu anaibeba kutoka SARE, je atakuwa nani au yule Anayetembea na MPIRA? Yanga mna Makocha wengi wakiongozwa na Mzee Msolwa ,Mkwassa hao wazungu 2 nini kinawashinda?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kinachotushinda sisi utopolo fc isipokuwa uwezo wetu ndipo ulipoishia🏃‍♂️
 
Naomba aliyepo Jangwani aulize kama wanashona sare za wanafunzi pia, shule yangu inatafuta fundi mzuri wa sare na Yanga nasikia ni wataalamu wa sare.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…