Yanga ndio wanawafanyia umafia Simba, Jwaneng wapo Avic Town

Mbumbumbu Fc acheni propaganda za kipuuzi, mnajitisha wenyewe.
Kama ao Galaxy mnawaogopa basi subirini Leo tumalize mechi tunarudi na kesho tutawasaidia kucheza sisi mmpate ushindi na soka mardadii.
Wale TRA mmecheza nao Chamazi ikija ligi mnakimbia jiji yaani mpo full mchecheto.
 
Avic town inamilikiwa na avic tanzania ltd
Na Avic inamilikiwa na Catic International ltd
Yanga wakienda hapo wanakodisha...na Simba nayo ikitaka inatuhusiwa kukodisha haimilikiwi na GSM...inamilikiwa na wachina waliijenga ili wauze nyumba wakakosa soko
 
Mo FC banaaa mmeliwaaaa kamtoto kadogoooo
 
Nashangaa kwanini Yanga inataka kuwakomoa Simba, wao wameshavuka na wapo Misri lakini malazi ya Jwaneng Galaxy yapo Kigamboni.

Ila tutaingia tu robo fainali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga wapo Misri, na wala hawamiliki AVIC town..!! Yaani mnataka mmiliki asipangishe mtu yeyote kisa adui wa 5imba?
 
Binadamu huitafuta furaha yake hata kwa kufanya ubaya.Huyo ndiye binadamu mchoyo na mbinafsi/selfcenteredness!Kama ni kweli.
 
Mkuu Kwa Wakilala Avic Town Kuna Tatizo Gani Kwenye Game Yenu.

Mpira Tumekubaliana Unachezwa Uwanjani.
 
Nashangaa kwanini Yanga inataka kuwakomoa Simba, wao wameshavuka na wapo Misri lakini malazi ya Jwaneng Galaxy yapo Kigamboni.

Ila tutaingia tu robo fainali.

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya naajabu mengine yaani timu imecheza michezo saba ya Kimataifa na imeshinda mchezo mmoja tu ila ajabu Yanga analaumiwa. Hivi ni kweli kwenye michezo yote sita Yanga alikuwa anawahujumu. Nyie endeleeni tu kuilaumu Yanga badala kuimarisha kikosi chenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…