Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,113
- 4,658
Nilitegemea mlalamikaji mkuu kuwa Kagera. ila imegeuka kuwa Yanga.Yanga wanaenda mahakaman wamepokonywa points zipi
Kwann usiwashauri kagera waende mahakaman
Hata hivyo kanuni haziruhusu mambo ya mpira kupelekwa kotin
Kweli wewe ni Askari Muoga!Simba sc wamepewa point tatu na kamati ya Simba sc imeamua kuwapa Simba sc point 3 ivyo inaongoza kwa point 61
Je Yanga fc wakienda mahakama ni ligi itasimama kama ilivyo simama Zanzibar kwa miezi sit a
My take
Yanga fc nendeni mahakama ni kama muna uhakika kuwa mumeonewa
Siyo Yanga bali Kagera ndo waende kupinga kupokwa hizo pointi.Simba sc wamepewa point tatu na kamati ya Simba sc imeamua kuwapa Simba sc point 3 ivyo inaongoza kwa point 61
Je Yanga fc wakienda mahakama ni ligi itasimama kama ilivyo simama Zanzibar kwa miezi sit a
My take
Yanga fc nendeni mahakama ni kama muna uhakika kuwa mumeonewa
Siyo Yanga bali Kagera ndo waende kupinga kupokwa hizo pointi.
Siyo Yanga bali Kagera ndo waende kupinga kupokwa hizo pointi.
Kwani ni lazima kuanzisha uzi? Jamani hebu ipeni jf heshima yake! Unaanzisha uzi hata hujui chochote! Sasa kagera ndio wamepokwa points iweje Yanga iende mahakamani imeonewa wapi?Simba sc wamepewa point tatu na kamati ya Simba sc imeamua kuwapa Simba sc point 3 ivyo inaongoza kwa point 61
Je Yanga fc wakienda mahakama ni ligi itasimama kama ilivyo simama Zanzibar kwa miezi sit a
My take
Yanga fc nendeni mahakama ni kama muna uhakika kuwa mumeonewa
Fitna za football zipo kadhaaviongozi wa kagera wachunguzwe ni pamoja na kocha wao, na huyo fakhi aliingia dk ngapi kuinajisi mechi hiyo??
Kwenda kushtak nin sasa kuwa kanuni ibadilishwe mchezaji akiwa na kad za njano tatu acheze tu!? Kweli mapenzi yakizid akili inasimama kufikiria! PoleHata yanga wanaweza kwenda mahakamani, maan wana interest ya ubingwa....
Mpila bongo wanuka rushwaHata yanga wanaweza kwenda mahakamani, maan wana interest ya ubingwa....
Mpila bongo wanuka rushwa
Acha upuuzi na utoto wewe,,,yanga wamepokonywa point zipi na timu gani imempokonya yanga point zake think before talk,,,,,gongowazi weweeeeSimba sc wamepewa point tatu na kamati ya Simba sc imeamua kuwapa Simba sc point 3 ivyo inaongoza kwa point 61
Je Yanga fc wakienda mahakama ni ligi itasimama kama ilivyo simama Zanzibar kwa miezi sit a
My take
Yanga fc nendeni mahakama ni kama muna uhakika kuwa mumeonewa
ni zaidi ya fitina, tunamngoja malinzi kwa uchaguziFitna za football zipo kadhaa
Mi nilidhani wanaenda Mahakamani kumshataki Chirwa walie msajili kwa million 200 leo anagomea mechi, Yanga na Mashabiki wake ni wajinga sana... Yani viongozi wanatoa boko halafu msala mnatupa simba na TFF, hebu ongeleeni mambo yenu basiSimba SC wamepewa point tatu na kamati ya TFF na sasa Simba inaongoza kwa point 61. Je Yanga FC wakienda mahakamani ligi itasimama kama ilivyosimama Zanzibar kwa miezi sita?
My take:
Yanga FC nendeni mahakamani kama mna uhakika kuwa mmeonewa.
Kwan Yanga na Kagera wanaundugu?Simba SC wamepewa point tatu na kamati ya TFF na sasa Simba inaongoza kwa point 61. Je Yanga FC wakienda mahakamani ligi itasimama kama ilivyosimama Zanzibar kwa miezi sita?
My take:
Yanga FC nendeni mahakamani kama mna uhakika kuwa mmeonewa.