Yanga ni kama haina uongozi kwa sasa

Yanga ni kama haina uongozi kwa sasa

Kamgomoli

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2018
Posts
1,896
Reaction score
4,058
Mwenyekiti wa Yanga Mshindo Msolla sijui yupo Yanga kufanya nini. Hivi maamuzi ya kumleta kocha mpya yamefanywa na nani? Usajili wa wachezaji km YIPE umefanywa na nani maana ni kama anapelekeshwa na kundi fulani la watu. Yanga inasajili wachezaji wa kawaida sn sijapata kuona.( Hasa wa kimataifa).Sioni nguvu yake km M/kiti maana siku hizi mambo mengi ya utendaji yanafanywa na GSM.Km kazi imemshinda aondoke!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga malengo yetu ni mechi za kimataifa kupambana na tp mazembe, mamelodi, wydad, utaona tutakavyowafunga esperence, mazembe, zamalek ndipo utakapofunga hilo domo lako.
 
Yanga malengo yetu ni mechi za kimataifa kupambana na tp mazembe, mamelodi, wydad, utaona tutakavyowafunga esperence, mazembe, zamalek ndipo utakapofunga hilo domo lako.
Manara acha basis[emoji23][emoji23][emoji23] Kum
..Ku ..Ku ..kum.. Tunajua mtacheza ki Bruce lee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji116][emoji116][emoji460][emoji460][emoji116][emoji116][emoji460]
FB_IMG_1578228047284.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mgawanyo wa majukumu acha tuone kinachoendelea GSM ndio wenye mkwanja itakua vzr wao wakijihusisha zaidi kutafuta wachezaji na kuwalipa maana mwenyekiti, wanachama na mashabiki wa Yanga hawawezi kununua na kulipa wachezaji na makocha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii timu yangu kwa kweli sielewi kwa sasa kila kitu ni GSM hata mchezaji anapokelewa kwenye ofisi za GSM mhh kazi ipo
 
Yanga walipochemka ni kumleta huyu kocha mpya. Kuhusu wachezaji sio shida. Mkwasa alishajua cha kuwafanya. Ila kwa hali ilivyo, huyu mzungu akidumu baada ya ligi kuisha. Utakuwa ni miujiza tu. Jumamosi na Azam!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba wamepata ingizo jipya kwenye uongozi. Bashite 😀😀😀
 
kilichotokea baada ya Mo kuamua kujitoa kutokana na matokeo mabovu Viongozi wa simba wakampigia simu Makonda ili aongee na Mo na akafanikiwa kumrudsha Boss sasa ndio shukran ya pekee hyo Mh kapatiwa yapo mengi chini ya kapeti

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenyekiti wa Yanga Mshindo Msolla sijui yupo Yanga kufanya nini. Hivi maamuzi ya kumleta kocha mpya yamefanywa na nani? Usajili wa wachezaji km YIPE umefanywa na nani maana ni kama anapelekeshwa na kundi fulani la watu. Yanga inasajili wachezaji wa kawaida sn sijapata kuona.( Hasa wa kimataifa).Sioni nguvu yake km M/kiti maana siku hizi mambo mengi ya utendaji yanafanywa na GSM.Km kazi imemshinda aondoke!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yupo na Mwakalebela wanashinda ofisi za GSM kuchukua fedha za Usajili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yanga walipochemka ni kumleta huyu kocha mpya. Kuhusu wachezaji sio shida. Mkwasa alishajua cha kuwafanya. Ila kwa hali ilivyo, huyu mzungu akidumu baada ya ligi kuisha. Utakuwa ni miujiza tu. Jumamosi na Azam!

Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha kashasema ashaanza kufikiria future yake ..... na mm naomba apigwe game 4 au 5 mfululizo ili ajitimue mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom