Manara acha basis[emoji23][emoji23][emoji23] KumYanga malengo yetu ni mechi za kimataifa kupambana na tp mazembe, mamelodi, wydad, utaona tutakavyowafunga esperence, mazembe, zamalek ndipo utakapofunga hilo domo lako.
Yupo na Mwakalebela wanashinda ofisi za GSM kuchukua fedha za UsajiliMwenyekiti wa Yanga Mshindo Msolla sijui yupo Yanga kufanya nini. Hivi maamuzi ya kumleta kocha mpya yamefanywa na nani? Usajili wa wachezaji km YIPE umefanywa na nani maana ni kama anapelekeshwa na kundi fulani la watu. Yanga inasajili wachezaji wa kawaida sn sijapata kuona.( Hasa wa kimataifa).Sioni nguvu yake km M/kiti maana siku hizi mambo mengi ya utendaji yanafanywa na GSM.Km kazi imemshinda aondoke!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kocha kashasema ashaanza kufikiria future yake ..... na mm naomba apigwe game 4 au 5 mfululizo ili ajitimue mwenyewe.Yanga walipochemka ni kumleta huyu kocha mpya. Kuhusu wachezaji sio shida. Mkwasa alishajua cha kuwafanya. Ila kwa hali ilivyo, huyu mzungu akidumu baada ya ligi kuisha. Utakuwa ni miujiza tu. Jumamosi na Azam!
Sent using Jamii Forums mobile app