ngara23
JF-Expert Member
- Aug 31, 2019
- 9,091
- 21,087
Mimi kama mwanachama wa Yanga
Nawapongeza viongozi, wachezaji, Wanachama na mashabiki
Yanga ni timu Bora katika ukanda huu wa CECAFA, ndio timu pekee iliyokuwa ikishiriki mashindano makubwa ya club bingwa ukanda huu
Lakini isivyo bahati tumekwama na kuishia hatua ya group stage
Wale wenzetu wapo shirikisho yaani UMISETA mashindano ya akina mama, ambayo CAF walitaka wayafutilie mbali Kwa kukosa hadhi na kuwa mashindano yasiyo na hadhi
Watani wana force faraja fake Kwa kujilinganisha na Yanga iliyoishia group stage wakati timu iliyoishia final huko shirikisho hawezi kupata pesa sawa na timu iliyoishia group stage ya CAFCL
Mashabiki wa Yanga ni watu wakomavu na wana michezo, pamoja na matokeo kutokuwa upande wao hawakuharibu miundo mbinu ya uwanja kama wale wa 5imba ambao ni wahuni wavuta ugolo na bange
Yanga kutolewa timu zote za ukanda wa CECAFA Zina maumivu makali
Tujinze kutofautisha kati ya CAFCL na shirikisho yaani UMISETA ambapo Kaduguda Kiongozi pale Simba alipata kuyaita mashindano ya akina mama
Yanga tutajipanga tena na tuna waahidi iwakirishi mwema,
Yanga bingwa