Young Africa Again michuano ya klabu barani Afrika nae YANGA yumo, timu pekee kutoka Afrika Mashariki nayo ni YANGA, timu pekee kutoka Ukanda wa maziwa makuu nayo ni YANGA, timu tatu kutoka Kusini mwa Jangwa moja wapo ni YANGA.
Historia kutoka Tanzania nao ni YANGA, Mashabiki wenye furaha nao ni YANGA! Wakisema imekuwaje?? Waambie tumepanda gari moja ila nauli tumelipa tofauti.