Yanga ni sawa sawa na Vladimir Putin tu

kwisha

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2021
Posts
1,779
Reaction score
4,982
Kuna siku nilipost hapa kabla ya mechi ya Simba na Yanga ni kasema Yanga hii sio watu wa maneno mengi kama Simba tupo kama Vladimir Putin tuna kupiga kwa vitendo sio kwa maneno

Simba wana maneno mengi wakialikwa na timu zingine au wakitajwa kwenye kundi fulani la Africa maneno yanakuwa mengi

Sijui Simba kubwa sijui Simba sisi ni watano Africa sijui Simba lidude likubwa yaani maneno mengi
Ila wakikutana na wanaume washoka vilio vinakuwa vingi sijui Yanga wanaroga saana sijui Yanga mambo mengi wanajifunzia kwetu sijui mayele ni wakawaida

Ila naona sasa hivi wamealikwa na al hilal maneno tena yameongezeka. Huku mwanaume Yanga a.k.a Vladimir Putin ana angalia tu wao na huyo aliye walika wakija vibaya wote tuna wapasuwa
 
FT
VIPERS 2–0 UTOPOLO
na hyo ilikuwa friends match ingekuwa ya Caf champions league mngepasuka hata 10 jidanganyeni mna team.
 
Umeona Simba wamempa Kanoute jina la PUTIN ukaja kukimbilia hapa kujisemesha Yanga hahahahahahahah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…