Yanga Ni Somo Kubwa Kwa Simba

Yanga Ni Somo Kubwa Kwa Simba

Smart codetz

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2023
Posts
218
Reaction score
875
SIMBA kwenye misimu tano ya ubora wake ameshindwa kupasua ukuta wa nusu fainali Afrika.

YANGA msimu wa pili wa ubora wake yupo Nusu fainali ya michuano ya klabu barani Afrika.

The sleeping Giant is awaking, Young Africans for Africans in continental football.
CB0322F3-3155-4354-9519-6785F7A9E1F6.jpeg
 
Yaaah mkuu tuna mpango wa kuanzisha tuition Kwa vilabu vya Tanzania...Ili kushinda home & away

Especially Kwa Makolo
 
Kwanini Simba wasijifunze kwa timu zinazocheza na kufanikiwa CAFCL kuliko shirikisho aliko Yanga?

Kombe la kushindana na timu zinazoshuka daraja kwenye ligi zao?

Sisi watanzania tuna ulimbukeni sana.
 
Simba ni mdogo wake Yanga. Hivyo kujifunza mambo mazuri kutoka kwa kaka yake, ni jambo lisilo kwepeka.
 
Kwanini Simba wasijifunze kwa timu zinazocheza na kufanikiwa CAFCL kuliko shirikisho aliko Yanga?

Kombe la kushindana na timu zinazoshuka daraja kwenye ligi zao?

Sisi watanzania tuna ulimbukeni sana.
Hapo chini umemaliza vizuri sana. Maana hata comment yako imekaa kishabiki zaidi.

Huko shirikisho mshawahi shiriki pia, ila hamna mlichofanya
 
SIMBA kwenye misimu tano ya ubora wake ameshindwa kupasua ukuta wa nusu fainali Afrika.

YANGA msimu wa pili wa ubora wake yupo Nusu fainali ya michuano ya klabu barani Afrika.

The sleeping Giant is awaking, Young Africans for Africans in continental football.
View attachment 2617720
Yanga iingizwe kwenye mitaala ya shule.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom