Smart codetz
JF-Expert Member
- Jan 25, 2023
- 218
- 875
Hapo chini umemaliza vizuri sana. Maana hata comment yako imekaa kishabiki zaidi.Kwanini Simba wasijifunze kwa timu zinazocheza na kufanikiwa CAFCL kuliko shirikisho aliko Yanga?
Kombe la kushindana na timu zinazoshuka daraja kwenye ligi zao?
Sisi watanzania tuna ulimbukeni sana.
Maana mtoto hakui kwa baba hata akiwa na mvi,,,Simba ni mdogo wake Yanga. Hivyo kujifunza mambo mazuri kutoka kwa kaka yake, ni jambo lisilo kwepeka.
Yanga iingizwe kwenye mitaala ya shule.SIMBA kwenye misimu tano ya ubora wake ameshindwa kupasua ukuta wa nusu fainali Afrika.
YANGA msimu wa pili wa ubora wake yupo Nusu fainali ya michuano ya klabu barani Afrika.
The sleeping Giant is awaking, Young Africans for Africans in continental football.
View attachment 2617720