Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mashabiki wa ngaya aka makwasukwasu hawajielewi eti wanaponda statistics za mchezaji wasiejua anacheza nafasi gani ndani ya uwanjaView attachment 1138550
Mashabiki wa ngaya aka makwasukwasu hawajielewi eti wanaponda statistics za mchezaji wasiejua anacheza nafasi gani ndani ya uwanjaView attachment 1138550
kampigia mzee akilimali amekataa kupokea simu eti anakusanya michango lumumbaKwani Mzee Kilomoni anasemaje?
Anasema mko tayari kuuza basi lenu pesa itayopatikana ijumlishwe kwenye kubwa kuliko?Kwani Mzee Kilomoni anasemaje?
Kwa mpira upi wa India?
Au mpira upi was China?
Bongo hakuna cricket
Logic yako kutokana na kichwa cha hiki ulichokiandika hapa ni sawa na kudai kuwa "nyumba ya Juma haina akili". Unategemea kitu ambacho hakina uhai au utashi kifanye maamuzi? Ukiambiwa ulipoandika haya maneno ulikuwa umetoka kulala danguro utasema umetukanwa?
Kwani Mzee Kilomoni anasemaje?
Kwa mpira upi wa India?
Au mpira upi was China?
Bongo hakuna cricket
Kwa mpira upi wa India?
Au mpira upi was China?
Bongo hakuna cricket
Duh! Mbumbumbu buana
Ulimsikia vizuri mama karume siku ile ya kuuza makombe na jezi za kina sunday manara na sembuli?Kwani Mzee Kilomoni anasemaje?
Mama karume yeye katoa hati ya yanga?Kasema hatoi hati
Inawezekana! Kama Kotei wamemwachia ameenda Kaizer Chief!Mashabiki wa ngaya aka makwasukwasu hawajielewi eti wanaponda statistics za mchezaji wasiejua anacheza nafasi gani ndani ya uwanjaView attachment 1138550