Yanga ni team isiyotumia akili ikiongozwa na mashabiki wake

Mashabiki wa ngaya aka makwasukwasu hawajielewi eti wanaponda statistics za mchezaji wasiejua anacheza nafasi gani ndani ya uwanjaView attachment 1138550

Logic yako kutokana na kichwa cha hiki ulichokiandika hapa ni sawa na kudai kuwa "nyumba ya Juma haina akili". Unategemea kitu ambacho hakina uhai au utashi kifanye maamuzi? Ukiambiwa ulipoandika haya maneno ulikuwa umetoka kulala danguro utasema umetukanwa?
 

Hujielewi
 
kuna mwenyekit wa Simba, ashawah iita timu anayoongoza Mbumbu FC..

una justify vip hapa mleta uzi??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…