Yanga ni team isiyotumia akili ikiongozwa na mashabiki wake

kuwa mshabiki wa simba ni sawa na kuwa mwanachama wa ccm, yaani 'zero' brain

ndiyo maana wamemwacha kotei na kusajili hilo galasa!
 
kuwa mshabiki wa simba ni sawa na kuwa mwanachama wa ccm, yaani 'zero' brain

ndiyo maana wamemwacha kotei na kusajili hilo galasa!

Hujielewi kubwa jinga wewe fala wewe

Mkataba wa Kotei umeisha akapata ofa ya kuchea ligi bora Africa kwa hiyo lazima angeenda

Alafu Kotei kabla ya Simba ulimjulia wapi
 
Hujielewi kubwa jinga wewe fala wewe

Mkataba wa Kotei umeisha akapata ofa ya kuchea ligi bora Africa kwa hiyo lazima angeenda

Alafu Kotei kabla ya Simba ulimjulia wapi
Yaani wewe na hao waliokuleta duniani ni zaidi ya mapunga kweli kweli, kwani hiyo offer mlio mpa huyo kanjanja mngempa kotei mngempoteza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…