Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Wallah wabillah hii ni kufru.. amekufuru huyu. Huu ni wivu tu. GSM inachukiwa jinsi inavyopiga pesa kwa sasa. Inachukiwa sana. Iacheni ndo wakati wake huu.
Yanga ni team ya Taifa. Nyie mikia mnaona wivu sana. Yanga ina back up kubwa sana ya kutoka kwa viongozi wakubwa. Hamuiwezi na mtashindwa. Yaani kwa Yanga ubingwa ni mpaka 2035 back to back. Haina kwere hiyo. As long as hii Serikali ipo Madarakani Yanga atakuwa Bingwa. Ni team ya Taifa.
Huyu mzee sijui anakula maharagwe ya wapi? Kama hatopatiwa kesi. Sijui. Ajifanye yeye ana msimamo imara