Yanga ni timu ya kawaida sana, ilikuwa bora ila inashuka kwa kasi kupitia maelezo

Metronidazole 400mg

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2016
Posts
941
Reaction score
2,062
Bahati yenu tunaeleka international break (ndio pona yenuu) lasivyo mngeendelea kupelekewa moto mpaka mkubali timu yenu ya kawaida Sanaa

1. Hizi pancha za wachezaji wenu sio kwa bahati mbaya ni kutumika kwa mda mrefu bila kupata mapumziko ya kutosha

2. Bado pancha ya nzengeli TU naisubiria kwa hamu, hapo ndio itakuwa msibaa kabisa

3. Ni zamu yenu kuingia sokoni timu ikiwa kwenye presha kubwa tuone mtafanya Nini, naisubiria Sanaa kwa hamu kuona mnavyopotelea kusikojulikana

4. Fukuzeni kocha, mleteni mpya aanze kuwa fahamu wachezaji, mzidi kupoteza milele daima.

Mpira uheshimiwe
 
Mnalaumu bure wachezaji

Kuna mchezaji anaitwa Offen Chikola, ana shooting accuracy ya juu mno. Kapata nafasi mbili tu na zote kafunga goli 2. Shooting accuracy ya Offen Chikola ipo juu mno ni level za UEFA champions league. Inabidi apewe nafasi kuonesha kipaji chake, ikibidi aitwe taifa stars

Timu yoyote ikianza kufunga timu kadhaa kwa mfululizo lazima timu zingine ziingie mchezoni kwa hofu...
Vilevile timu yoyote ikianza kufungwa tu basi timu zingine zinapata ujasiri ziingiapo uwanjani....

Hivyo Yanga si kwamba ni timu Bora sana....noo ... ushindi wao ndiyo ilikuwa ngao yao.....
Wajipange upya kutetelesha timu pinzani
 
Timu yoyote ikianza kufunga timu kadhaa kwa mfululizo lazima timu zingine ziingie mchezoni kwa hofu...
Vilevile timo yoyote ikianza kufungwa tu basi timu zingine zinapata ujasiri ziingiapo uwanjani....

Hivyo Yanga si kwamba ni timu Bora sana....noo ... ushindi wao ndiyo ilikuwa ngao yao.....
Wajipange upya kutetelesha timu pinzani
Nikusaidie kitu

Mpira kwa kiasi kikubwa inaongozwa na saikolojia kuanzia;
1.wachezaji
2.benchi la ufundi
3.uongozi

Timu inapopata matokeo mazuri saikolojia ya makundi tajwa hapo juu Huwa vizuri na kuifanya timu kuendelea kupata matokeo mazuri

Ila Sasa, timu inapokosa matokeo Kila kitu kinaharibika kisaikolojia na kinachotokea hapo ni kulaumiana kuanzia wachezaji, benchi na uongozi pia.

Kwa upande wa Yanga, kwa muda mrefu psychology Yao imekuwa positive, ila Sasa inaonekana wanaanza kupoteana na ni dhahiri hii itawa cost na kuwagharimu Sanaa mpaka kujua ku regain again.

Hata chama langu msimbazi hii tumepitia Sanaa.....hata Azam fc hii inawa cost sana zaidi ya misimu minne Wana shindwa kutoka.

Ila niamini Azam fc wakishinda hili la saikolojia niamini wataisumbua sana ligi yetu huko mbeleni ( nitakuja na Uzi wake mda si mrefu )
 
Bahati yenu tunaeleka international break (ndio pona yenuu) lasivyo mngeendelea kupelekewa moto mpaka mkubali timu yenu ya kawaida Sanaa

1. Hizi pancha za wachezaji wenu sio kwa bahati mbaya ni kutumika kwa mda mrefu bila kupata mapumziko ya kutosha

2. Bado pancha ya nzengeli TU naisubiria kwa hamu, hapo ndio itakuwa msibaa kabisa

3. Ni zamu yenu kuingia sokoni timu ikiwa kwenye presha kubwa tuone mtafanya Nini, naisubiria Sanaa kwa hamu kuona mnavyopotelea kusikojulikana

4. Fukuzeni kocha, mleteni mpya aanze kuwa fahamu wachezaji, mzidi kupoteza milele daima.

Mpira uheshimiwe
Yanga ni timu nzuri na ya viwango, kuna ujinga tu unaendelea but the team is classic ingawa inahitaji kuwaondoa wachezaji fulani iwapeleke kwingine kwa mkopo au iachane nao mazima
 
download-1.jpg
 
Asante sana mkuu
Ndicho nilikuwa namaanisha...morali
 
Yanga ni timu nzuri na ya viwango, kuna ujinga tu unaendelea but the team is classic ingawa inahitaji kuwaondoa wachezaji fulani iwapeleke kwingine kwa mkopo au iachane nao mazima
Hapo kwenye kuwaondoa ndio tiketi ya kupoteana mazima
 
Bahati yenu tunaeleka international break (ndio pona yenuu) lasivyo mngeendelea kupelekewa moto mpaka mkubali timu yenu ya kawaida Sanaa

1. Hizi pancha za wachezaji wenu sio kwa bahati mbaya ni kutumika kwa mda mrefu bila kupata mapumziko ya kutosha

2. Bado pancha ya nzengeli TU naisubiria kwa hamu, hapo ndio itakuwa msibaa kabisa

3. Ni zamu yenu kuingia sokoni timu ikiwa kwenye presha kubwa tuone mtafanya Nini, naisubiria Sanaa kwa hamu kuona mnavyopotelea kusikojulikana

4. Fukuzeni kocha, mleteni mpya aanze kuwa fahamu wachezaji, mzidi kupoteza milele daima.

Mpira uheshimip
 
Back
Top Bottom